Sakata la Kizz Daniel: STR8UP Vibes na Uongozi wanazungumza na wanahabari muda huu

Sakata la Kizz Daniel: STR8UP Vibes na Uongozi wanazungumza na wanahabari muda huu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam.

Leo Mwimbaji huyo akiwa na Kampuni ya Uandaaji matamasha ya burudani ya STR8UP Vibes pamoja na uongozi wake wameita waandishi wa habari kwaajili ya kutoa taarifa kamili ya nini kilitokea na hatua gani zinachukukuliwa.

 
Nimesikiliza, Kuna kitu hakisemwi na waandaaji, Janja janja FC.
 
Back
Top Bottom