khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
Nmependa jinsi ulivo2mia majina yao...aibu kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umefikiria vizuri sana Kuna jamaa mmoja nilimjibu kama hii thread inavyoeleza kwamba haiwezekani kununua views afu you tube wakulipe akasema shule yangu tatizo na kuniita mbwa sasa Leo amejitukana yeye mwenyeweHapa watachungulia na kusepa dawa yao wakianzisha thread zao za kufarijiana unatupia uzi kama huu ili kuwakomesha team kiba
Huwezi kuwaona humu na team yao ya malalamikoHuyo Diamond ni tajiri sana ananunua shangwe kwenye show, anawanunua mashabiki wenyewe [emoji57][emoji57][emoji57] ananunua viewers youtube, ananunua followers instagram, ananunua vyombo vya habari vya kimataifa na local vyote ananunua [emoji13][emoji13] ananunua support kutoka kwa wasanii wenzake wa kimataifa, ananunua! Ananunua! Ananunua!
Tumebadili gia anganiBasi ananunua mashabiki,tumebadilisha sasa.
Wamepumuliwa sasa wanasema eti diamond ananunuwa mashabiki
Katika suala la matamko tuweke ushabiki pembeni nyie mmezidi.Dah yani hapo hakuna hata haja ya kuongeza neno ila wacha tu nichangie..
Yani binafsi nikisikiaga watu ambao wanaonekana kama moja ya 'A list' artists alafu wanaongea hoja za kitoto eti fulani ananunua views mpaka huwa naona uvivu kubishana nao au kuwaelewesha.. Ni sawa sawa vile mpo 'kijiweni' alafu jamaa anaanzisha ubishi kuwa Botwasa iko bara la Asia. Yani mpaka kubishana nae unasikia uvivu..
Kuna vitu vingine vinahitaji reasoning ya kawaida tu kuvielewa! Hivi kweli ununue views alafu jamaa wawe wanakulipa tu kila siku.. Hivi unawajua wamiliki wa YouTube?? Ni Google, sasa mahacker wabobezi ndio wapo kule wameajiriwa ili kudhibiti michezo kama hiyo..
Ukifanya huo mchezo hata kiduchu tu umenyakwa na unakula ban ya milele usitumie tena YouTube..
Dimpoz akili zake nyepesi sana, alafu wamekutana yeye na kiba hakuna wa kumshauri mwenzake! Wote kazi ya kulalama tuuuuuu..
Alafu Nifah wewe kichwa sana mama, you are a great thinker natamani ukae kwenye menejimenti uwe una washauri angalau. Maana matamko yao mengine yanasikitisha, sijui ni nani huwa ana washauri..
Mtabaki kusema ananunua mpaka mama zenu maana vichwa vyenu vigumu kuelewaka watanzania bwana.Huyo ni Mwakilishi Hewa wa Youtube East Africa,wewe unafikiri atakubali kwamba wananunua view? Kitendo cha kuwepo system ya kuhakiki view inaonyesha wazi kwamba michezo ya kufanya makeke kwenye view ipo.
Team kibakuli katika ubora wakoKatika suala la matamko tuweke ushabiki pembeni nyie mmezidi.
Hivi ni kwamba hujui matamko ya Diamond ambavyo huwa yanachefua watu?
Tukianza na lile tamko maarufu la kulamba ndimu...hayo na mengine mengi funga kazi ni juzi katika sakata hili ambalo halijapoa kuhusu yeye na Ommy.
Diamond ana matamko machafu sana,nashangaa mtu makini na mstaarabu kama wewe kumkingia kifua pamoja na kumshabikia (labda kama una maslahi binafsi)
Vipi matamko ya meneja wake Salaam?Yule nae ndio kabisa hadi huwa najisikia vibaya maana kiukweli anamharibia sana Diamond.
Ali Kiba anafahamika sio mtu wa matamko sana,ni mara chache tena panapotokea ulazima wa kufanya hivyo.
Lakini sio saaaana kama Diamond kila uchwao ana matamko.
Akifanya kitu kipya lazima aje na matakamko kabla na baada.
Nafikiri ungeanza kwanza kutoa boriti lililokuwepo katika macho yenu ndipo utugeukie sisi.
Asante kwa compliment anyway [emoji120]
Hivi Alikiba mbona anawanyima Usingizi? Kwanza hii uliyoongea hapa ni Pumba Kabisa, Hakuna mahala ambapo Ommy Dimpo wala Alikiba aliwahi sema kuwa Diamond ananunua Viewers, Huo ni Uchonganishi na Sijawahi kuona muhaya Mjinga kama wewe, Lakini la Pili Amekili kuwa ni kweli unaweza kununua viewers ila wakigundua wanakufungia, kwahiyo ni kweli unaweza kununua na pengine wasikugundue. Acha Uchonganishi Msipo Angalia Alikiba Atakuja kiwaua kwa Presha. Haya nendeni mtafuteni Mganga wake naye Aje akanushe kuwa Uwezi Kuroga, maana waganga wako makini watagundua.wana jamvi wasalaam.
Baada ya Ommary Nyemo kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommary Nyemo ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa watu hununua views alisema kuwa hata yeye aliwai kutaka kununua...
Lakini kabla ya hayo tuhuma hizo dhidi ya Nasibu Abduli zilikuwa zinatolewa kwa uwoga na msanii Ali salehe lakini wengi wafatiliaji walikuwa wanaelewa kuwa anaye tuhumiwa ni Nasibu Abduli..pamoja na hayo yote msanii Ali Salehe kwakuwa huwa anaogopa kumsema wazi Nasibu Abdul hivyo akaona ni vyema aanze kumtumia Ommary Nyemo kumshambulia na kumtuhumu Nasibu Abduli....
Wanasema uongo ukiongelewa sana bila kukanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa ukweli na wale wsiojua ndio huamini kabisa ni kweli.
Leo Clouds Fm waliamua kumtafuta muwakilishi wa You tube East Africa kumuuliza kama kweli watu wanaweza kununua views au viewers na wao wasigundue na kuchukua hatua..
Kwanza Mwakilishi yule aliweka wazi kabisa wao hapa East Afrika wanasimamia na ku control you tube channel za wasanii baadhi East Africa na kwa Tanzania wanasimamia Channel za kina AY,Mwana FA, wasanii wa wasafi wote na Alikiba.
Mwakilishi huyo aliendelea kufafanua kuwa ni vigumu mtu kununua viewers you tube na wasigundue na kuwaondoa na akaendelea kusema You tube ina wataalam wabobezi sana na wanajua kuna watu wanaweza fanya hivyo na hivyo wamejidhatiti sana kumfumo.
Aliendelea kusema kuwa kama ukinunua views wanafungia account yako na hutoweza kufungua account yeyote ile google na gmail account wanaifunga na alisema kuwa kamwe hawawezi kumruhusu mtu kununua views halafu waje kumlipa na haiwezekani.
Alipo ulizwa kuhusu Diamond kununua views alisema hakuna kitu kama hicho na hawewezi kuruhusu mtu anunue views halafu waje kumlipa na kamwe hawatoruhusu hilo hivyo habari hizo si kweli.
Hivyo mwakilishi wa You tube amehitimisha tuhuma na kufunga mjadala mzima juu ya ununuaji wa viewers na ni wazi habari hizi zimewavua nguo marafiki wa karibu sana Ommary Nyemo na Ali Salehe.
Ni ukweli ulio wazi Ommary Nyemo na rafiki yake wa karibu sana Ali Salehe wanapaswa kujitokeza hadharani nakumuomba radhi Bwana Nasibu Addul.
Karibuni wana jamvi.
Source: Clouds Fm
Tatizo Nyie Timu Mimavi Mnapenda matusi sana ikiwa mtu asipomsaport bwana wenu,nimesema kama Youtube wenyewe wana system ya kuahakiki view basi inamaanisha ni kwamba kuna makeke yanafanyika katika kuchezea view na ndio maana Youtube wakaweka hiyo system,sijamzungumzia mme wenu kama ananunua view au lah elewa wewe msukule wa madale/Tandale/South Africa.Mtabaki kusema ananunua mpaka mama zenu maana vichwa vyenu vigumu kuelewaka watanzania bwana.