Sakata la kununua viewers: Ommy Dimpoz na Ali Kiba waumbuliwa na mwakilishi wa Youtube E/Africa

Hapa watachungulia na kusepa dawa yao wakianzisha thread zao za kufarijiana unatupia uzi kama huu ili kuwakomesha team kiba
Mkuu umefikiria vizuri sana Kuna jamaa mmoja nilimjibu kama hii thread inavyoeleza kwamba haiwezekani kununua views afu you tube wakulipe akasema shule yangu tatizo na kuniita mbwa sasa Leo amejitukana yeye mwenyewe
 
Huwezi kuwaona humu na team yao ya malalamiko
 
Tanzania bana......yaani mtu anapofanikiwa huwa hawakosekani watu wa kupiga vita hayo mafanikio. Ni kama hawakubaliani na ukweli kwamba umewapita wao wanapambana kukuvurugia.....sasa huo si ustaarabu. Hawa wa akina ommy dimpoz na ally kiba wangetafuta inshu nyingine za kufanya ili kujiingizia kipato hizo chuki hazitawafikisha popote........kuna biashara nyingi wanaweza fanya.....kwa mfano wakijumua utumbo pale vingunguti alfajiri wakauuza ukiwa katika ndoo na kubeba begani kwa kupitisha mitaani huku wakiimba nyimbo za kuvutia wateja watapata mauzo ya haraka yaani wakianza saa mbili asubuhi saa nne utumbo umeisha au wakifungua genge wakauza vitu vidogo vidogo kama dagaa nyanya...vitunguu....binzari....hoho....nazi....watapiga sana hela maana wake za watu watakuwa wanakuja kila wakati kununua mahitaji na watapata pesa nyingi watatoka kwenye hali mbaya waliopo .......sio hivi vituko wanavyofanya baada ya kuona mziki umewashinda.
 
Dah yani hapo hakuna hata haja ya kuongeza neno ila wacha tu nichangie..

Yani binafsi nikisikiaga watu ambao wanaonekana kama moja ya 'A list' artists alafu wanaongea hoja za kitoto eti fulani ananunua views mpaka huwa naona uvivu kubishana nao au kuwaelewesha.. Ni sawa sawa vile mpo 'kijiweni' alafu jamaa anaanzisha ubishi kuwa Botwasa iko bara la Asia. Yani mpaka kubishana nae unasikia uvivu..

Kuna vitu vingine vinahitaji reasoning ya kawaida tu kuvielewa! Hivi kweli ununue views alafu jamaa wawe wanakulipa tu kila siku.. Hivi unawajua wamiliki wa YouTube?? Ni Google, sasa mahacker wabobezi ndio wapo kule wameajiriwa ili kudhibiti michezo kama hiyo..
Ukifanya huo mchezo hata kiduchu tu umenyakwa na unakula ban ya milele usitumie tena YouTube..

Dimpoz akili zake nyepesi sana, alafu wamekutana yeye na kiba hakuna wa kumshauri mwenzake! Wote kazi ya kulalama tuuuuuu..


Alafu Nifah wewe kichwa sana mama, you are a great thinker natamani ukae kwenye menejimenti uwe una washauri angalau. Maana matamko yao mengine yanasikitisha, sijui ni nani huwa ana washauri..
 
Katika suala la matamko tuweke ushabiki pembeni nyie mmezidi.

Hivi ni kwamba hujui matamko ya Diamond ambavyo huwa yanachefua watu?
Tukianza na lile tamko maarufu la kulamba ndimu...hayo na mengine mengi funga kazi ni juzi katika sakata hili ambalo halijapoa kuhusu yeye na Ommy.
Diamond ana matamko machafu sana,nashangaa mtu makini na mstaarabu kama wewe kumkingia kifua pamoja na kumshabikia (labda kama una maslahi binafsi)

Vipi matamko ya meneja wake Salaam?Yule nae ndio kabisa hadi huwa najisikia vibaya maana kiukweli anamharibia sana Diamond.

Ali Kiba anafahamika sio mtu wa matamko sana,ni mara chache tena panapotokea ulazima wa kufanya hivyo.
Lakini sio saaaana kama Diamond kila uchwao ana matamko.

Akifanya kitu kipya lazima aje na matakamko kabla na baada.

Nafikiri ungeanza kwanza kutoa boriti lililokuwepo katika macho yenu ndipo utugeukie sisi.

Asante kwa compliment anyway [emoji120]
 
Huyo ni Mwakilishi Hewa wa Youtube East Africa,wewe unafikiri atakubali kwamba wananunua view? Kitendo cha kuwepo system ya kuhakiki view inaonyesha wazi kwamba michezo ya kufanya makeke kwenye view ipo.
 
Huyo ni Mwakilishi Hewa wa Youtube East Africa,wewe unafikiri atakubali kwamba wananunua view? Kitendo cha kuwepo system ya kuhakiki view inaonyesha wazi kwamba michezo ya kufanya makeke kwenye view ipo.
Mtabaki kusema ananunua mpaka mama zenu maana vichwa vyenu vigumu kuelewaka watanzania bwana.
 
Team kibakuli katika ubora wako
 
Mwisho wa uongo huwa ni aibu Na clouds wanavyujua kuumbua huyo you tube control wamemtafuta mwishoni baada ya jamaa kuropoka.....

Hivi hajaomba interview tena kama alivyofanya siku ile
 
siku nyingine uki post jaribu kutaja majina yao maarufu ili kila mtu umu jukwaan apate kufaham unazungumzia watu gan, sasa uyo Ommy nyemo wala Ali salahe sisi hatuwajui ao ila Nassibu Abdul tunajua kuwa ni platnumz! au hao wengine ni wawakilishi wa you tube east africa?
 
Hivi Alikiba mbona anawanyima Usingizi? Kwanza hii uliyoongea hapa ni Pumba Kabisa, Hakuna mahala ambapo Ommy Dimpo wala Alikiba aliwahi sema kuwa Diamond ananunua Viewers, Huo ni Uchonganishi na Sijawahi kuona muhaya Mjinga kama wewe, Lakini la Pili Amekili kuwa ni kweli unaweza kununua viewers ila wakigundua wanakufungia, kwahiyo ni kweli unaweza kununua na pengine wasikugundue. Acha Uchonganishi Msipo Angalia Alikiba Atakuja kiwaua kwa Presha. Haya nendeni mtafuteni Mganga wake naye Aje akanushe kuwa Uwezi Kuroga, maana waganga wako makini watagundua.
 
Kabla mtu hajajibu swali na namna hiyo jibu lake unakuwa unalo tayari..
 
Mtabaki kusema ananunua mpaka mama zenu maana vichwa vyenu vigumu kuelewaka watanzania bwana.
Tatizo Nyie Timu Mimavi Mnapenda matusi sana ikiwa mtu asipomsaport bwana wenu,nimesema kama Youtube wenyewe wana system ya kuahakiki view basi inamaanisha ni kwamba kuna makeke yanafanyika katika kuchezea view na ndio maana Youtube wakaweka hiyo system,sijamzungumzia mme wenu kama ananunua view au lah elewa wewe msukule wa madale/Tandale/South Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…