Sakata la kununua viewers: Ommy Dimpoz na Ali Kiba waumbuliwa na mwakilishi wa Youtube E/Africa


acha mahaba na mapenzi binafsi
huyo aliyehojiwa ndo anahusika kwe biashara nzima
..unaenda muuliza mwalimu mkuu kama shule huwa inaiba matokeo..shenzi..

reality is its possible to buy views

https://devumi.com/youtube-views/

I bought myself 60,000 YouTube views for Christmas
mitanzania kweli haipendi fanya reserch
 
Watu wanavunja sheria za nchi itakuwa youtube? kitu cha kawaida sana hicho zinanunuliwa hata likes za KitabuSura na instagramm lakini waulize wanaoendesha hiyo mitandao kama wanalitambua hilo...
 
Mkuu inaonyesha huelewi dunia ya sasa mambo yanaendaje unaamini kila unachoambiwa na wakubwa
 
Kwani O. Dimpoz wakati anasema hivyo alitaja jina la Diamond?
 
usipo wauliza you tube unataka waulizwe wakina nani? You tube hawawezi kukuruhus ununue views halafu wao wakulipe hela...unatumia kichwa? kwanza umesoma kilicho andikwa?
 
Mkuu inaonyesha huelewi dunia ya sasa mambo yanaendaje unaamini kila unachoambiwa na wakubwa
Kwa hiyo hata Ali Salehe naye ananua views?
 
Si kila habari humfaa kila mtu.
 
kwahiyo mlitegemea huyo mwakilishi angekubali kuwa kwel views zinanunuliwa ht km ni kweli?!
 
hahaa sasa unamuuliza mtuhumiwa unahisi atakiri kosa? mleta uzi jiongeze bhana
 
Acheni wenge sasa hapo Ally kiba kaingiaje!?
 
Kwani O. Dimpoz wakati anasema hivyo alitaja jina la Diamond?
Hajamtaja Diamond,ila ajabu Diamond mwenyewe pamoja na team yake wote wametokwa mapovu. Sijawahi kuona Diamond akitokwa mapovu kiasi kile.
 
Kama kuna mtu atathibitisha hapa kuwa Diamond ananunua views na nipigwe ban ya maisha.
 
Yaani watu walitegemea hao YouTube wakubali kweli kuna hiyo biashara.
 
'Kama akinunua view wanamfungia akaunt yake' hapo si tayari kumbe uwezekano upo.. na kama upo huyo anaefunga akipewa hela atafungaje na wakati na yeye ana mgawo wa hizo hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…