Sakata la kununua viewers: Ommy Dimpoz na Ali Kiba waumbuliwa na mwakilishi wa Youtube E/Africa

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wanajamvi wasalaam,

Baada ya Ommary Nyemo kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommary Nyemo ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa watu hununua views alisema kuwa hata yeye aliwai kutaka kununua...

Lakini kabla ya hayo tuhuma hizo dhidi ya Nasibu Abduli zilikuwa zinatolewa kwa uwoga na msanii Ali salehe lakini wengi wafatiliaji walikuwa wanaelewa kuwa anaye tuhumiwa ni Nasibu Abduli..pamoja na hayo yote msanii Ali Salehe kwakuwa huwa anaogopa kumsema wazi Nasibu Abdul hivyo akaona ni vyema aanze kumtumia Ommary Nyemo kumshambulia na kumtuhumu Nasibu Abduli....

Wanasema uongo ukiongelewa sana bila kukanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa ukweli na wale wsiojua ndio huamini kabisa ni kweli.

Leo Clouds Fm waliamua kumtafuta muwakilishi wa You tube East Africa kumuuliza kama kweli watu wanaweza kununua views au viewers na wao wasigundue na kuchukua hatua..

Kwanza Mwakilishi yule aliweka wazi kabisa wao hapa East Afrika wanasimamia na ku control you tube channel za wasanii baadhi East Africa na kwa Tanzania wanasimamia Channel za kina AY,Mwana FA, wasanii wa wasafi wote na Alikiba.

Mwakilishi huyo aliendelea kufafanua kuwa ni vigumu mtu kununua viewers you tube na wasigundue na kuwaondoa na akaendelea kusema You tube ina wataalam wabobezi sana na wanajua kuna watu wanaweza fanya hivyo na hivyo wamejidhatiti sana kumfumo.

Aliendelea kusema kuwa kama ukinunua views wanafungia account yako na hutoweza kufungua account yeyote ile google na gmail account wanaifunga na alisema kuwa kamwe hawawezi kumruhusu mtu kununua views halafu waje kumlipa na haiwezekani.

Alipo ulizwa kuhusu Diamond kununua views alisema hakuna kitu kama hicho na hawewezi kuruhusu mtu anunue views halafu waje kumlipa na kamwe hawatoruhusu hilo hivyo habari hizo si kweli.

Hivyo mwakilishi wa You tube amehitimisha tuhuma na kufunga mjadala mzima juu ya ununuaji wa viewers na ni wazi habari hizi zimewavua nguo marafiki wa karibu sana Ommary Nyemo na Ali Salehe.

Ni ukweli ulio wazi Omary Nyemo na rafiki yake wa karibu sana Ali Salehe wanapaswa kujitokeza hadharani nakumuomba radhi Bwana Nasibu Abdul.

Karibuni wana jamvi..

Chanzo: Clouds Fm
 
Huyo Diamond ni tajiri sana ananunua shangwe kwenye show, anawanunua mashabiki wenyewe [emoji57][emoji57][emoji57] ananunua viewers youtube, ananunua followers instagram, ananunua vyombo vya habari vya kimataifa na local vyote ananunua [emoji13][emoji13] ananunua support kutoka kwa wasanii wenzake wa kimataifa, ananunua! Ananunua! Ananunua!
 
Sasa mlidhan watakubali hao youtubewaharibu soko lao? Kiukweli Views unaweza kueanunua kabida....

Hata mimi ningekana haeanunui kulinda biashara...
 
Huyo Diamond ni tajiri sana ananunua shangwe kwenye show, anawanunua mashabiki wenyewe [emoji57][emoji57][emoji57] ananunua viewers youtube, ananunua followers instagram, ananunua vyombo vya habari vya kimataifa na local vyote ananunua [emoji13][emoji13] ananunua support kutoka kwa wasanii wenzake wa kimataifa, ananunua! Ananunua! Ananunua!
utajiri wake ni zaidi ya Mengi,Bakharesa na Dangote
 
wana jamvi wasalaam.
Baada ya Ommary Nyemo kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommary Nyemo ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa watu hununua views alisema kuwa hata yeye aliwai kutaka kununua...

Lakini kabla ya hayo tuhuma hizo dhidi ya Nasibu Abduli zilikuwa zinatolewa kwa uwoga na msanii Ali salehe lakini wengi wafatiliaji walikuwa wanaelewa kuwa anaye tuhumiwa ni Nasibu Abduli..pamoja na hayo yote msanii Ali Salehe kwakuwa huwa anaogopa kumsema wazi Nasibu Abdul hivyo akaona ni vyema aanze kumtumia Ommary Nyemo kumshambulia na kumtuhumu Nasibu Abduli....

Wanasema uongo ukiongelewa sana bila kukanushwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa ukweli na wale wsiojua ndio huamini kabisa ni kweli.

Leo Clouds Fm waliamua kumtafuta muwakilishi wa You tube East Africa kumuuliza kama kweli watu wanaweza kununua views au viewers na wao wasigundue na kuchukua hatua..
Kwanza Mwakilishi yule aliweka wazi kabisa wao hapa East Afrika wanasimamia na ku control you tube channel za wasanii baadhi East Africa na kwa Tanzania wanasimamia Channel za kina AY,Mwana FA, wasanii wa wasafi wote na Alikiba.
Mwakilishi huyo aliendelea kufafanua kuwa ni vigumu mtu kununua viewers you tube na wasigundue na kuwaondoa na akaendelea kusema You tube ina wataalam wabobezi sana na wanajua kuna watu wanaweza fanya hivyo na hivyo wamejidhatiti sana kumfumo.

Aliendelea kusema kuwa kama ukinunua views wanafungia account yako na hutoweza kufungua account yeyote ile google na gmail account wanaifunga na alisema kuwa kamwe hawawezi kumruhusu mtu kununua views halafu waje kumlipa na haiwezekani.

Alipo ulizwa kuhusu Diamond kununua views alisema hakuna kitu kama hicho na hawewezi kuruhusu mtu anunue views halafu waje kumlipa na kamwe hawatoruhusu hilo hivyo habari hizo si kweli.

Hivyo mwakilishi wa You tube amehitimisha tuhuma na kufunga mjadala mzima juu ya ununuaji wa viewers na ni wazi habari hizi zimewavua nguo marafiki wa karibu sana Ommary Nyemo na Ali Salehe.

Ni ukweli ulio wazi Ommary Nyemo na rafiki yake wa karibu sana Ali Salehe wanapaswa kujitokeza hadharani nakumuomba radhi Bwana Nasibu Addul.

Karibuni wana jamvi.
Source: Clouds Fm
mkuu unapozungumzia UBORA wa Diamond na kiba ni sawa na kuzungumzia thamani ya Vogue sports 2016 na vitz ya 3doors,,I mean kiba bado mtoto mdogo sana kisanaa coz hata soko la ndani bado hajalishika kabisaaa
 
Back
Top Bottom