Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja, Mshahara tu ndio hautapanda.
Duh! Mbona itakuwa hatari ...Mshahara tu ndio hautapanda.
Sio hatari. Subirie meimosi maza aje nangonjera. Gharama juu, mshahara uleule.Duh! Mbona itakuwa hatari ...
AiiseeSio hatari. Subirie meimosi maza aje nangonjera. Gharama juu, mshahara uleule.
Kazi ni kipimo Cha utuSio hatari. Subirie meimosi maza aje nangonjera. Gharama juu, mshahara uleule.
kwani mshahara ni bidhaa, useme ni kitu?Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja, Mshahara tu ndio hautapanda.
hata mm nikajua ni kitumbua.Nikajua wale wa riverside.
Hata mimi wazo langu lilikuwa hapoNikajua wale wa riverside.