Sakata la Kupotea Rajab Omari Mtana na Hukumu ya Kunyongwa kwa Masheikh 10 Tanga

Sakata la Kupotea Rajab Omari Mtana na Hukumu ya Kunyongwa kwa Masheikh 10 Tanga

FaizaFoxy njoo msadie mzee wako na mihadala yake ya uislamu

By tthe way Kwan Sweden jus ktk siku ya idd ya kuchinja waliamu kuchoma quruan mbele ya msiki mdg uliopo hapo
Sijamuona kwenye uzi huu hata mmoja wa kusimama kwa hoja na Alama Mohamed Said.

Wewe ?

Mie nafahamu wale kama wewe mjikusanye 200 bado mtakula knockout zake mmoja baada ya mwingine.

Wewe ukwa faid yako nakushauri uwe ni wakuuliza kiheshima na adabu ufundishe na Mohamed Said.
 
Asiee mkuu umeeleZa vyema sn na mm nashangaa kila wakt Ni kujinasibisha tu kwa kina abdul Sykes kumbe Ni Bab ake kbsa ndio anapigania andikwe kwenye historia ya tanganyika

Nashangaa kuona jf inampa tuzo mbalimbali mtu Kama huyu mdini ,mbaguzi ,mchawi ,kibaraka wa Iran kwani asinyanganywe tuzo zote alizo pewa huyu mzee aliye saliwa nje ya mfumo

Kila siku sykesa na kina abduli tu na kuona Kam Nyerere hafai kuwep katk historia yoyote
Naomba jf imdhibiti Sana huyu mzee ,mfuruga amani
Dr.
Sijui ni kitu gani kinawafanya muamini kuwa kutukana, kukejeli na kuzua uongo na kujaribu kunifedhehesha kunaweza kufuta historia ya kweli ya harakati za uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini tafsiri ya makala aliyoandika Aisha ''Daisy'' Sykes kwa Kiingereza mwaka wa 2018 ikiwa ni kumbukumbuka ya miaka 50 ya kifo cha baba yake.

Hiki ni kipande kidogo kutoka makala hiyo akimueleza Mwalimu Julius Nyerere.
Makala haya yalichapwa katika Raia Mwema kwa mikupuo mitatu.

Watu wengi sana walivutiwa na historia hii:

KUMBUKUMBU

BABA YANGU ABDULWAHID SYKES KAMA NINAVYOMKUMBUKA

Aisha ‘’Daisy’’ Sykes Buruku

Utangulizi​

Aisha ‘’Daisy’’ Sykes Buruku ni binti ya Abdulwahid Sykes mmoja kati ya wazalendo 17 waliounda chama cha TANU kilichopigania uhuru wa Tanganyika.

Daisy kama anavyofahamika zaidi kwa jina hili, ni msichana wa kwanza Mwafrika kusoma Shule ya Wasichana ya Aga Khan mwanzoni mwa miaka ya 1950 na msichana wa pili kuingia Chuo Kikuu Cha Afrika ya Mashariki, Dar es Salaam mwishoni mwa miaka ya 1960.

Daisy amefahamiana na wazalendo wengi mmoja wapo akiwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na machifu mashuhuri kama Mangi Mkuu Thomas Marealle waliokuwa wakifika nyumbani kwa baba yake wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Katika kuadhimisha miaka 50 ya kifo cha baba yake, Daisy ameandika makala haya kukumbuka siku zile zilizojenga haiba ya baba yake na ya wazalendo walioshiriki katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kwa miaka mingi Daisy amekuwa akiishi na kufanya kazi nje ya Tanzania:

''Nakumbuka katika akili yangu ya kitoto kumuona Mwalimu Nyerere akiishi nyumbani kwetu kwa muda katika nyumba yetu ya Mtaa wa Stanley baada ya kuacha kazi wakati marafiki zake wa karibu baba na Dossa Aziz walikuwa wanamtafutia nyumba ya kuishi.

Nyumba yetu ya Stanley kwa kuwa ilikuwa kwenye makutano ya barabara mbili ilikuwa na mjengo wa kipekee kwa nyakati zile. Nyumba kubwa na yenye vyumba kadhaa ilikuwa upande wa Mtaa wa Stanely na upande wa Mtaa wa Sikukuu ilikuwa nyumba nyingine inayojitegemea ikiwa na sebule na chumba cha kulala hapo hapo.

Ingawa upande huu wa nyumba ilikuwa na nafasi ya kutosha ilikuwa vigumu kwa wanaume wawili wakubwa kuishi pamoja.

Naamini baba yangu mdogo Abbas ambaye alikuwa akiishi kwenye nyumba ile ikabidi ahame aende kweye nyumba yetu nyingine Mtaa wa Kipata au ajibane nyumba kubwa ili Mwalimu Nyerere apate utulivu na faragha katika nyumba ile.

Mwalimu Nyerere na Hamza Mwapachu ni watu walionivutia sana mimi kwa kiwango cha juu kwa namna walivyokuwa wakilitamka jina langu, ‘’Daisy,’’ kwa lafidhi yenyewe ya Kiingereza kama wanavyozungumza Wazungu na hii ikalifanya jina hili langu la utani linigande na liwe ndilo jina langu halisi.

Nikiwa mtoto nakumbuka sana vipi baba akishughulishwa na kutaka kuona kuwa Mama Maria na watoto wake hawakosi chochote kuyafanya maisha yao kuwa mepesi, ya starehe na furaha akihakikisha chakula kinapelekwa dukani kwa Mama Maria kila siku katika duka lake dogo lilikuwapo Mtaa wa Livingstone kona na Mtaa wa Mchikichi, hiki kikiwa kielelezo chake kikubwa kabisa cha huruma na ukarimu wake.

Ilikuwa katika kipindi hiki cha mimi kuanza kupata akili katika kukua kwangu ndipo nilipokutana na wanawake wazalendo waliokuwa wanaochipukia katika uongozi wa Tanganyika, wanawake kama Bi. Lucy Lameck kutoka Moshi, Mary Ibrahim na akina mama wa Kiislam kama Bi. Titi Mohamed, Bi. Tatu bint Mzee, Bi. Hawa bint Maftah, hawa kutoka Dar es Salaam, wote hawa kwangu mimi walikuwa bibi zangu.

Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa akina mama wa Kiislam wote walivutwa katika siasa na Bibi Chiku bint Kisusa, maarufu akijulikana kama Mama Sakina.

Alikuwa Mama Sakina ndiye aliyewapa hawa wanawake wa Kiislam niliowataja hapo juu utambulisho na wakaja kuwa watu maarufu.

Baba yeye ndiye alikuwa kiongozi wa mikakati hii yote kwa sababu bila yeye kuwatia hima kwa kutumia ushawishi wake ingekuwa vigumu kuweza kuwatia hawa wanawake katika kuwahamasisha wanawake wenzao wa Kiislam na wao watoke majumbani kuja mstari wa mbele katika mikutano wakiimba na kutoa vibwagizo vya kuunga mkono TANU na kudai uhuru.

Hili jambo lilikuwa jipya, jambo ambalo katika utamaduni wetu kwa wakati ule halikutarajiwa na ni kinyume katika utamaduni wetu kwa wanawake wa Kiislam kulifanya katika siku zile.

Nimesikia mazungumzo mengi wakati baba na wenzake walipokuwa wakijadili majina na shughuli ambazo hawa akina mama walikuwa wahusishwe ili kuleta mvuto wa kisiasa katika mikutano yao ya TANU.

Nakumbuka vizuri sana jinsi baba alivyokuwa karibu sana na Mwalimu Sakina na ndugu yake Mwalimu Fatna (wote hawa watoto wa Mama Sakina), na jinsi alivyowaleta ndugu hawa karibu na Mama Maria na hawa wakamjulisha Mama Maria Nyerere kwa mama yao na mashoga zake Bi Hawa Maftaha, Bibi Titi Mohamed na Bi Tatu binti Mzee.

Hawa wanawake ndiyo waliomsaidia Mama Maria kufungua hilo duka lake dogo pale Mtaa wa Livingstone kona na Mchikichi, mahali ambako Mama Maria alishinda kutwa nzima akiuza duka lake.

Nikiwa mtoto nakumbuka kwenda kwenye dula lile kila siku mchana kupeleka chakula kwa Mama Maria, ambako hapakuwa mbali kutoka nyumbani kwetu.

Kwa kuwa baba alikuwa anataka ratiba hii yake ya chakula ifuatwe sawasawa kwa wakati wake, wakati mwingine hii ilikuwa changamoto kubwa sana kwa mama yetu, Bi. Mwamvua bint Mashu.''

1688528607761.png

Kulia ni Mama Sakina (Bi. Chiku bint Said Kisusa), Bi. Titi Mohamed, kushoto mwanzo ni Bi. Tatu bint Mzee na Julius Nyerere ni huyo katikati wakimsindikiza uwanja wa ndege safari ya kwanza UNO 1955

1688528860479.jpeg

Abdul Sykes na mkewe Bi. Mwamvua bint Mashu​

[MS1]
 
Asiee mkuu umeeleZa vyema sn na mm nashangaa kila wakt Ni kujinasibisha tu kwa kina abdul Sykes kumbe Ni Bab ake kbsa ndio anapigania andikwe kwenye historia ya tanganyika

Nashangaa kuona jf inampa tuzo mbalimbali mtu Kama huyu mdini ,mbaguzi ,mchawi ,kibaraka wa Iran kwani asinyanganywe tuzo zote alizo pewa huyu mzee aliye saliwa nje ya mfumo

Kila siku sykesa na kina abduli tu na kuona Kam Nyerere hafai kuwep katk historia yoyote
Naomba jf imdhibiti Sana huyu mzee ,mfuruga amani
Dr,
Umesema kila wakati najinasibisha na akina Abdul Sykes.
Nitakueleza kwa ufupi historia yangu.

Mimi nimezaliwa Mtaa wa Kipata mwaka wa 1952 kulia ni Mtaa wa Swahili na kushoto ni Mtaa wa Nyamwezi.

Karibu na nyumba yetu ilikuwa nyumba ya Ibrahim Hamisi mmoja kati ya waasisi wa African Association na Kleist Sykes mwaka wa 1929.

Ibrahim Hamisi alikuwa Mnubi baba yake alitokea Dafur na aliingia German OstaAfrika mwishoni 1880.
Mmoja wa watoto wake Abdallah Ibrahim kwangu alikuwa kaka na sikumkuta St. Joseph's Convent.

Abdallah Ibrahim alinisimulia historia ya baba yake.
Nasikitika sana kuwa Abdallah Ibrahim alishindwa kunipatia picha ya baba yake.

Kipande kidogo kutoka nyumbani kwetu ilikuwa nyumba ya Kleist Sykes ikitazamana na nyumba aliyokuwa akiishi babu yangu Salum Abdallah na mkewe bibi yangu Zena bint Farjallah na watoto wao.

Mke wa Kleist Sykes Bi. Mruguru bint Mussa na bibi yangu Bi. Zena bint Farjallah walikuwa marafiki wakubwa.

Kleist na babu yangu wote walikuwa waajiriwa wa Tanganyika Railways baada ya Vita Kuu Vya Kwanza (1914 - 1918).

Baba yangu Salum Abdallah na Abdul Sykes na mdogo wake Ally na Abbas wamekuwa wakifahamiana na majirani toka miaka ya 1920 na walisoma shule moja Al Jamiatul Islamiyya Muslim School kisha Kitchwele Boy's Government School.

Wakati mimi nazaliwa hawa nimewakuta marafiki ndugu na majirani.

Nyuma ya nyumba niliyozaliwa mimi Mtaa wa Kirk Street alikuwa akiishi Bi. Tatu bint Mzee, Saleh Muhsin, Ramadhani Mashado Plantan na Bi. Mruguru bint Mussa mama yao Abdul, Ally na Abbas Sykes.

Saleh Muhsin na Zuberi Mtemvu walitoka TANU 1958 wakaunda chama cha Congress.
Hawa wote niliowataja walikuwa katika harakati za kudai uhuru kwa njia moja au nyingine.

Wengi katika hawa niliwadiriki kuwafahamu nikiwa na akili zangu na baadhi wakawa wazungumzaji wangu wakubwa.

Mpiga picha wa kwanza aliyepiga picha za mwanzo za TANU, Mohamed Shebe alikuwa na studio yake katika Mtaa wa Livingstone na Kipata na alinipiga picha yangu ya kwanza mwaka wa 1953 nikiwa na mwaka mmoja.

Huwa nawachekesha watu kwa kuwaambia kuwa mpiga picha wa Nyerere katika 1950s alinipiga picha mimi kabla ya kumpiga Mwalimu Nyerere.

Mama yangu Bi. Baya bint Mohamed na mke wa Abdul Sykes Mama Daisy walikuwa marafiki pamoja na mke wa Zuberi Mtemvu Bi. Siti Kilungo.

Mtoto wa Abdul Sykes Ebby na mimi tulizaliwa kwa kupishana siku moja Ebby akinitangulia.
Kitanda alicholala mama yake Ebby ndicho kitanda alicholala mama yangu siku ya pili nikazaliwa mimi.

Hivi ndivyo nilivyokuja kuijua historia ya akina Sykes na historia yao ya kuunda African Association 1929, Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933 na TANU 1954.

Hivi ndivyo nilivyoijua historia ya Mwalimu Nyerere.

Siku alipofariki Abdul Sykes ilipigwa simu nyumbani kwetu kumtaarifu baba yangu kifo hicho na mimi ndiye niliipokea simu hiyo.

Katika hisani kubwa waliyoniofanyia ni kuniruhusu kusoma nyaraka zao kuhusu historia yao katika kuunda chama cha TANU.

Hili likaniwezesha mimi kuandika kitabu.
Huu ndiyo uhusiano wangu na akina Sykes.

Nimekuwa nikiijua vizuri historia ya wazee wangu na historia ya jamii yangu hapa Dar es Salaam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

1688531235224.jpeg

Picha aliyonipiga Mzee Mohamed Shebe 1953
1688531451990.jpeg

Ebby (Ibrahim) Sykes na Mohamed Said
1688531322637.jpeg

Kushoto Mohamed Shebe, John Rupia na Julius Nyerere

1688534616639.jpeg
 
Kama walionewa ungetumia neno Watanzania na sio ku classify kwa dini...lengo ni kuwajaza watu upepo waone wanaonewa...ili mkinukishe...Sasa katika kitu hakitatokea nchii hii ni hiki...na waulize walioinua pua kuleta machafuko Kwa mgongo wa dini kilichowakuta .....wew umeachwa kwa sababu...and not otherwise
 
Anajiona mjanja wala hajui kuwa kaachwa kwa sababu!

Taarifa zake na mienendo yake ipo kwene korido mbalimbali za vyombo vya ulinzi na usalama. Kalamu zake mda wake wa kula kulala kusafiri kutembea na ujinga ujinga wake vyote vipo under total control and strong supervision. Hawezi lijua hili.

Elimu ya propaganda na uenezi aliyosoma huko syria na iran pamoja na mafunzo madogo madogo aliyoyasomea huko egypt anajua watu hawajui kumbe Faili zake zipo kwene uratibu. Hajajiuliza hii habari ya baba yake kutimkia huko bukavu congo imepatikanaje.

Fadhili zake alizokuwa anazipata kwa mgongo wa taasisi za kidini zilizo na mafungamano na Iran anajua watu hawajui, kumbe kawekwa kiporo ili kuratibu shughuli zake na wenzie yeye hujua yupo huru kumbe sio hivyo.
 
Ujamaa...
Sheikh Rogo si ''Logo.''
Mwaka wa 2011 nilipita Geneva nikakutana na kijana mmoja akanikaribisha nyumbani kwake.
Katika mazungumzo akaniuliza kama namjua Sheikh Ilunga.

Nikamwambia namfahamu sana.

Akaniwekea video ya Sheikh Ilunga.
Nikamuomba anipige picha Ilunga akiwa ndiyo ''background.''

View attachment 2678754
View attachment 2678755
Ilunga huyo na nyuma yake ni mimi picha hii tulipiga CBE Dodoma 1989
View attachment 2678757

Unazani nataabishwa na historia zenu na bwana logo au hassan kapungu wala sishangai maana lengo lenu lilikuwa ni moja. Nani asiemjua ilunga kapungu kwa mihadhara yake dhidi ya viongozi wa kanisa, kanisa na umma wa wakristo nchini. Hakika huna hoja dhidi ya mtu huyo. Alama pekee aliyoiacha ni uchochezi.
 
Asiee mkuu umeeleZa vyema sn na mm nashangaa kila wakt Ni kujinasibisha tu kwa kina abdul Sykes kumbe Ni Bab ake kbsa ndio anapigania andikwe kwenye historia ya tanganyika

Nashangaa kuona jf inampa tuzo mbalimbali mtu Kama huyu mdini ,mbaguzi ,mchawi ,kibaraka wa Iran kwani asinyanganywe tuzo zote alizo pewa huyu mzee aliye saliwa nje ya mfumo

Kila siku sykesa na kina abduli tu na kuona Kam Nyerere hafai kuwep katk historia yoyote

Naomba jf imdhibiti Sana huyu mzee ,mfuruga amani

Nawashangaa hata mimi hawa mods kwa kufuta comments zangu dhidi ya mamluki huyu. Angalia mjadala huu ulivyokaa kishari, kizushi na uongo mwingi kwanza unazua taharuki na kusababisha uchochezi. Walipigwa watu huko vijiji vya kigoma, mbalali mbeya, isesa huko rukwa na wengine waliuwawa hata masai wa ngorongoro waliuwawa lakini hatukuwatafsiri kwa minajili ya udini, Leo anaibuka mpuuzi mmoja anazua taharuki kwene habari yake kwa minajili ya udini afu mods wanamuacha. Mtu huyu ni mtoto wa Abdul sykes wa nje why mods hamtaki kuamini, habari hizi ni kwa mujibu wa faili mbalimbali za mzee huyu. Huko magomeni inafahamika kabisa.
 
Unapenda sana kutukana na kuzua maneno.
Huwezi kuwa mwandishi mzuri ikiwa huandiki ukweli unaokoteza maneno na kulazimisha uaminike.

Mods wananiacha kwa kuwa mimi naandika mambo niliyotafiti.
Mods wewe wanakufuta kwa kuwa matusi na kejeli yamekutangulia sana.

Shukuru sana hawajakupiga ''ban.''

Ungefanya utafiti kidogo tu ungelijua kuwa sehemu kubwa ya maisha maisha yangu nimeishi Masaki na hadi leo ndipo ilipo anuani yangu ya ukazi.

Magomeni mimi ni mgeni sifahamiki sana.
Kama hizo faili zangu zisingekuwa Magomeni zingekuwa Masaki.

Hii ndiyo hatari ya uongo.
Ungekuwa na subra ungejifunza mengi kutoka kwangu.

Soma kisa hiki hapo chini:

''Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko ni mwalimu wa shule ya msingi Lwande moja ya vijiji vilivyoshambuliwa kwa tuhuma za ugaidi.

Mwalimu Athmani ni mwalimu mwajiriwa na serikali kusomesha masomo ya kisekula lakini kwa mapenzi yake katika Uislam kwa kuwa walimu wa somo la dini ya Kiislam Shule za Msingi hakuna yeye hujitolea kuwasomesha wanafunzi hawa na kuwatungia mitihani.

Kisa chake ni kisa cha kusikititisha na kuhuzunisha.

Siku za nyuma Mwalimu Athmani alifatwa na walimu wenzake akaelezwa kuwa imetoka amri juu kuwa walimu washirikiane kuwafaulisha watoto darasa la saba kwa kuwakokotolea wanafunzi majibu ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba ili kunyanyua ufaulu wa shule na hatimaye wilaya.

Mwalimu Athmani akakataa hili kwa misingi ya Uislam kuwa hicho kitendo ni ghushi yaani udanganyifu.
Udanganyifu huu ukakwama na sababu ni yeye Mwalimu Athmani.

Hapa ndipo zilipoanza chuki dhidi yake.

Sasa lilipotokea sakata la Lwande askari waliovamia kijiji kwa madai ya kupambana na Al Shabab Mwalimu Athmani akakamatwa, kupigwa na kufunguliwa kesi ya kujeruhi Mahakama ya Handeni.

Mwalimu Athmani sasa hivi ni masikini.
Alipoachiwa gerezani kwa dhamana alikuta nyumba yake imevunjwa na vitu vyake vyote vimeibiwa.

Huyu ndiye ''gaidi'' anaeshirikiana na Al Shabab.
Mwalimu muadilifu anaesomesha watoto kitabu cha Allah.

Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko ''Al Shabab wa Kufikirika.''
Haya ni machache.

Yapo mengi katika dhulma hii ya kumfanya mtu akabubujikwa na machozi.''

1688555800952.png

Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko
Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande
Al Shabab wa Kufikirika
 
Anajiona mjanja wala hajui kuwa kaachwa kwa sababu!

Taarifa zake na mienendo yake ipo kwene korido mbalimbali za vyombo vya ulinzi na usalama. Kalamu zake mda wake wa kula kulala kusafiri kutembea na ujinga ujinga wake vyote vipo under total control and strong supervision. Hawezi lijua hili.

Elimu ya propaganda na uenezi aliyosoma huko syria na iran pamoja na mafunzo madogo madogo aliyoyasomea huko egypt anajua watu hawajui kumbe Faili zake zipo kwene uratibu. Hajajiuliza hii habari ya baba yake kutimkia huko bukavu congo imepatikanaje.

Fadhili zake alizokuwa anazipata kwa mgongo wa taasisi za kidini zilizo na mafungamano na Iran anajua watu hawajui, kumbe kawekwa kiporo ili kuratibu shughuli zake na wenzie yeye hujua yupo huru kumbe sio hivyo.
Ujamaa...
Nasikia raha ninapokusoma.
Sijui kwanini.

Kuwa mimi ni mtu muhimu vyombo vya usalama vinahangaika...
Unakivimbisha kichwa changu kwa sifa ambazo sikujaaliwa.

Iran nimefika mara moja mwaka wa 2006 kwa mwaliko wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran.
Mwaliko huu ulijumuisha Watanzania wengi na wengine wala si Waislam.

Syria sijafika.
Nakumbuka Ahmed Diria alialikwa lakini hakuweza kusafiri.

Nimesafiri zaidi Ulaya na Afrika kuliko Arabuni.
Nimekaa muda mrefu Uingereza kuliko huko kwengine tena katika ujana wangu.

Nimetembea Marekani kidogo (New York, Washington, New Jersey, Iowa City na Chicago).

Sina kitu cha kuficha katika maisha yangu ndiyo unaniona hapa JF kwa jina langu halisi na unanisikia kwa sauti yangu.

Wewe umejificha.
Nini kinakutisha?

1688557428436.png

Kushoto wa pili nyuma sikumbuki jina la huyu binti yeye si Muislam lakini alikuwa mtangazaji wa Channel Ten tulisafiri ndege moja kwenda Iran akiwa katika kundi la watu wa media kutoka Tanzania na si wote walikuwa Waislam.
Picha hii tumepiga Radio Tehran, Iran Idhaa ya Kiswahili​
 
Attachments

  • 1688556872152.png
    1688556872152.png
    261.1 KB · Views: 4
Mungu akuongoze mzee wetu, mi naamini chuki haimaliziki kwa kufumbwa midomo watu ila kwa kuuweka ukweli mezani na kuonesha pumba na mchele ni upi, mtu mwenyewe ndo ataamua, sisi tunaweza kukaa kimya maana hayajatugusa ila watu walio uliwa ndugu zao huko madina hawatokaa wanene mazuri juu ya uongozi na viongozi milele pale wapatapo nafasi, kwaiyo haina maana kukaa kimya, hii ni nchi huru na huu ni uwanja huru wakutoa mawazo na maoni, mzee wetu tumia nafasi yako sisi hadhira tutachagua wenyewe wapi penye haki.
 
Bee...
Amin kwa sote.

Mimi nilisafiri hadi Handeni na nilizungumza na wahusika wa yale yote yaliyotokea.
Ilikuwa simanzi tupu kwa upande wangu.

Mimi nilikwenda Handeni kutafuta ukweli na kuwafariji ndugu zangu.
Nilielemewa na huzuni ikiwa mimi mgeni wenyeji wangu wananifariji.

Baada ya kukusanya taarifa zote pamoja na picha na sauti niliwasiliana na vyombo vikuu vya habari kwanza hapa nyumbani.

Wote walikiogopa kile nilichowaonyesha kwa ushahidi.
Waliniambia ni habari nzito sana wao hawawezi kuitoa na wakanisihi niiache kabisa.

Nikajaribu kuzungumza na vyombo vya nje.
Jibu lilikuwa lile lile habari inatisha bora nikaisahau kabisa.

JF wao walichapa kila nilichoandika bila ya hofu yoyote.
 
Waislamu lazima mjitafakari.
Ni kwanini mnawafuga Magaidi ?

Kibiti
Mkuranga
Kilwa
Tanga
Zanzibar
Ni kambi za Magaidi wa Kiislamu na mnawalea kimya kimya bila kutoa taarifa kwa Serikali.

Magaidi wanaanza kuua watu bila hatia mpo kimya tu.
Hadi Serikali ianze kuwatafuta na mnawaficha sana.

Shida yenu ninini?

Huyo kijana huenda alikuwa Gaidi kweli. Wewe unajuaje kuwa hakuwa Gaidi
Mbona Hamza alikuwa gaidi na hakustukiwa hadi alipoanza kuua Polisi bila sababu na alikuwa Mwislamu pia.
Waislamu mna matatizo ya kisaikolojia.
Mnataka kusimika Islamic State bila kuangalia maslahi ya Dini nyingine.

Ndio maana sehemu nyingi za Waislamu zinakumbwa na vurugu na Ugaidi mwingi.
Mkiwa peke yenu ni vurugu. Mkichanganyika na wasio Waislamu ni vurugu.

Acheni mentality za Ugaidi enyi Waislamu.
Mnaitia aibu jamii yenu.

Huyo Allah kama anawapenda Waislamu tu. ni kwanini aliumba watu wasio kuwa Waislamu ?
 
Back
Top Bottom