Sakata la kutoridhika na utendaji wa serikali

Sakata la kutoridhika na utendaji wa serikali

Naona unalazimisha kupakatwa, huku jukwaani utapakatwa tu. Huyo dhalimu kawatajie mapeasant wenzako ndio mlikuwa mnamsujudia.
Ukipakatwa wewe siyo wote huwa wanapakatwa .jiangalie Sana kijana, usifikiri wote ni wapaka poda Kama wewe.
I'm a pleasant indeed, what about you?
MSM?
 
Ukipakatwa wewe siyo wote huwa wanapakatwa .jiangalie Sana kijana, usifikiri wote ni wapaka poda Kama wewe.
I'm a pleasant indeed, what about you?
MSM?

Hapa ndiyo ulitaka kusema je kwa kiswahili au kikwenu?

"I'm a pleasant indeed, what about you?
MSM?
"

😂😂😂😂😂

Hiiiiii bagosha!
 
Nina wakalimani wa kutosha mburula wewe.
I'm sure beyond any reasonable doubt,Hawa wakalimani ulionao ni wakutafsiri korona tu.
Anyway back to the main point, Uchumi imara hujengwa Kwanza then upuuzi mwingine Kama huo mliokuwa mnaulilia ndiyo hufuata mura!
 
Kuna watu wanamshauri huyu bibi vibaya ilimradi tu marehemu aonekane alikuwa anayaweza na asiposhtuka mapema, stori itajirudia.
Kila kitu kosa kwa J hata kama kafa!!
Hii chuki imefikia kiwango cha uraibu, ni tatizo la kiafya sasa.
 
Hapa ndiyo ulitaka kusema je kwa kiswahili au kikwenu?

"I'm a pleasant indeed, what about you?
MSM?
"

😂😂😂😂😂

Hiiiiii bagosha!
Peasant ! Auto Spelling check kijana.
Don't concentrate with these minor typing errors
 
Ni Leo hii.....

Macho na masikio yaliyoelekezwa kuangalia kipindi cha BBC NEWS SWAHILI kinachorushwa hewani na STAR TV kimetoa TAFITI ya REPOA....

TAFITI YA REPOA YA MWAKA HUU IMEDHIHIRISHA HAYA:

1)Furaha ya watanzania juu ya serikali yao.

2)Serikali imejipambanua KUUFUFUA uchumi katikati ya mlipuko wa CORONA.

3)Serikali imejipambanua KUTENGENEZA ajira mpya kwa kushirikiana na SEKTA BINAFSI
 
Peasant ! Auto Spelling check kijana.
Don't concentrate with these minor typing errors

How the hell do I know Mr. Ignorant? I suggest you better stick to what you are fluent in.

To be honest, foreign languages aren't for everybody. My former president testified to that effect, better.
 
Ni Leo hii.....

Macho na masikio yaliyoelekezwa kuangalia kipindi cha BBC NEWS SWAHILI kinachorushwa hewani na STAR TV kimetoa TAFITI ya REPOA....

TAFITI YA REPOA YA MWAKA HUU IMEDHIHIRISHA HAYA:

1)Furaha ya watanzania juu ya serikali yao.

2)Serikali imejipambanua KUUFUFUA uchumi katikati ya mlipuko wa CORONA.

3)Serikali imejipambanua KUTENGENEZA ajira mpya kwa kushirikiana na SEKTA BINAFSI

Na hawa hapo chini wamo humo?

IMG_20210715_213635_704.jpg
 
Mtunduizi Brazaj ni lini taifa likategemea Kodi tu kutoka kwa matajiri ?!!!!

Hivi matajiri wako wangapi?!!!

Ni upi mchango wa sisi wananchi wa kipato cha Kati na chini katika uhuishaji uchumi wetu?!!

#KaziIendelee

Hujaona pale:

1. Pesa inayopotea na wale wabunge 19 kinyume cha sheria iko je?
2. Vipi pesa inayopotea kutokana na wizi rejea ripoti za CAG BOT TPA nk?
3. Vipi wabunge, Mawaziri na vigogo wasio lipa kodi?
4. Vipi mashirika yanayozalisha hasara?
5. Nk?

Tuache uchawa chawa huu. Mama namwunga mkono kwenye mengi yakiwamo Corona, lakini akipiga fyongo tunawajibika kumfahamisha.

Wewe huoni hivyo?
 
How the hell do I know Mr. Ignorant? I suggest you better stick to what you are fluent in.

To be honest, foreign languages aren't for everybody. My former president testified to that effect, better.
I'm fluent in this lingua nigga, I managed to master it even before my first appearance in this fuckin universe.
 
Back
Top Bottom