Sakata la kuzuiwa KQ nani mshindi na nani ataathirika?

Sakata la kuzuiwa KQ nani mshindi na nani ataathirika?

Wakenya mnaandika comment refu kama ndiyo uzi vile... na hakuna hata aya wazee. Maze tutamezea wapi tukiwa tunasoma?

Hata mtu akitaka kuwaqoute anashindwa aanzie wapi.

Tujaribu kufupisha michango na maoni yetu yasomeke vizuri. Na hayana hata aya.

Rudia vizuri kusoma comments zangu wacha uzembe, huwa nipo makini sana kwenye uandishi, huwa nazingatia kanuni zote tena kwa uangalifu.
 
Mimi likua kwenye ofisi ya Korean Air Beijing. Wakati huo ndo wanaanza safari za kwenda Nairobi. Kwenye flyer na banner zao zote eti wameweka mlima Kilimanjaro. Nikawauliza kwa nini mmeweka hii hapa. Kwani nyie hamjui kama huu mlima haupo Kenya. Nikaanzisha ugomvi tu kuwafundisha. Wakaishia kuomba msamaha.
Najua kama hakuna walichofanya baada ya hapo ila meseji sent. Sahivi ni vita tu nyie nyang'au! !!
Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? Wakorea au watanzania? Hilo kosa lao haliwahusu wakenya hata kidogo. Korean wakiamua kuitumia mbinu hiyo kuendeleza biashara zao huwa wanalazimika kisheria kuwaeleza wateja wao kuhusu 'connecting flight' ya kuunganisha kutoka Nairobi hadi Tz. Nairobi kutumiwa kwa njia hiyo huwa ina madhara yake pia. Huwa Naona France24, Aljazeera, BBC, CCTV, CNN wakiripoti kuhusu vita au maafa kule Kinshasa, Mogadishu, Malakal au Juba wakiwa kati kati mwa jiji la Nairobi. Alafu hapo chini wana 'caption', Reporting from Nairobi, Kenya.
 
Nonsense! !!!
Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? Wakorea au watanzania? Hilo kosa lao haliwahusu wakenya hata kidogo. Korean wakiamua kuitumia mbinu hiyo kuendeleza biashara zao huwa wanalazimika kisheria kuwaeleza wateja wao kuhusu 'connecting flight' ya kuunganisha kutoka Nairobi hadi Tz. Nairobi kutumiwa kwa njia hiyo huwa ina madhara yake pia. Huwa Naona France24, Aljazeera, BBC, CCTV, CNN wakiripoti kuhusu vita au maafa kule Kinshasa, Mogadishu, Malakal au Juba wakiwa kati kati mwa jiji la Nairobi. Alafu hapo chini wana 'caption', Reporting from Nairobi, Kenya.
 
Wakenya mnaandika comment refu kama ndiyo uzi vile... na hakuna hata aya wazee. Maze tutamezea wapi tukiwa tunasoma?

Hata mtu akitaka kuwaqoute anashindwa aanzie wapi.

Tujaribu kufupisha michango na maoni yetu yasomeke vizuri. Na hayana hata aya.
Kuna option nyingine nzuri zaidi, IGNORE. Wanaijeria huwa wanasema, no be by force oo!
 
Ni muda ss umefika Tz kuzama rasmi ktk sekta ya aviation ni muda ss serikal inapaswa iwekeze ktk sekta hii tuwe na direct flight za destination mbali mbali Europe, Asia walau safari 2 kwa wiki kwa kila destination
 
Dah! Mataifa yote haya tumezuia ndege zao wangekua wanalialia kama Watanzania sijui tungefanya nini haswa, tumezuia hadi Marekani, Sweden, India n.k, ila cha msingi na muhimu sana kwetu ni usalama wa afya zetu, na kwa vile mumepiga makelele sana hadi mnatia huruma kwa jinsi mnang'ang'ania kuja kwetu, basi mtaruhusiwa kuja ila lazima kila anayekuja na paspoti ya Tanzania apanue mdomo na kutumbukizwa kifaa cha kupima corona, ikigundulika amesheni virusi anageuzwa kwa gharama zake. Lazima tuwapime kama tunavyofanya pale mpakani, pale ambapo mlipiga makelele kama haya ikabidi tuwahurumie.

Watanzania hili la corona mumedhihirisha udhaifu mkubwa sana na imekua mwendo wa tahadhari kutolea na mataifa mengi dhidi yenu licha ya nyie kujiaminisha kwamba hamna corona.
Mnatiwa alama nyekundu kote...

Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania

2473175_20200801_164531.jpg
Haha!🤣🤣 the map you post all the time shows that you are using 'Sublimation' type of mental mechanism, which is considered a positive strategy (anger management exercises to help you stay calm) to redirect strong emotions or feelings into an object or activity that is appropriate and safe...
 
Kenya kwa sasa hivi watulie tu. Kila pande tumewazidi. Kwenye mitandao tumewazidi, kwenye utalii hawafui dafu.
Wizi wao wa Dhahabu na Tanzanite tumeuzuia. Kwa sasa wanapumulia mpira.

Hawana lolote tunawa
 
tunawaletea watalii na wajasiriamali, watu wenye pesa zao.... huoni kama hio ni faida kwenu?
but what do you do in return? munatuletea magonjwa na vitu vya ajabu ajabu
heri ndege igeuze kitupu au hata ibebe ng'ombe kuliko kubeba Mtanzania.... itapendeza zaidi
Kwani mnawaleta BURE??achani ET, watatuletea badala Yenu
 
Mungu anakuona,Nyie ndege zenu, siwezi nikasema ni chafu ila, wahudumu wenu, ni wabaya sijawahi kuona,huwezi linagnisha na ET,kwanza shirika lenu, ndege zenu zishazeeka
[emoji16][emoji16][emoji16]kwamba tatizo lao sio dogo ni Mungu mwenyewe ndio kawapa hilo tatizo[emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom