passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
SawaSisi hatuna shida kushare sababu tuna rasilimali nyingi sio moja.
Tatizo ni pale katka share wanapodhani ni sehemu ya haki yao,ndipo tunapowaelekeza njia sahihi ya kupita.hata kwa namna ya maumivu.
Wakenya mnaandika comment refu kama ndiyo uzi vile... na hakuna hata aya wazee. Maze tutamezea wapi tukiwa tunasoma?
Hata mtu akitaka kuwaqoute anashindwa aanzie wapi.
Tujaribu kufupisha michango na maoni yetu yasomeke vizuri. Na hayana hata aya.
Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? Wakorea au watanzania? Hilo kosa lao haliwahusu wakenya hata kidogo. Korean wakiamua kuitumia mbinu hiyo kuendeleza biashara zao huwa wanalazimika kisheria kuwaeleza wateja wao kuhusu 'connecting flight' ya kuunganisha kutoka Nairobi hadi Tz. Nairobi kutumiwa kwa njia hiyo huwa ina madhara yake pia. Huwa Naona France24, Aljazeera, BBC, CCTV, CNN wakiripoti kuhusu vita au maafa kule Kinshasa, Mogadishu, Malakal au Juba wakiwa kati kati mwa jiji la Nairobi. Alafu hapo chini wana 'caption', Reporting from Nairobi, Kenya.Mimi likua kwenye ofisi ya Korean Air Beijing. Wakati huo ndo wanaanza safari za kwenda Nairobi. Kwenye flyer na banner zao zote eti wameweka mlima Kilimanjaro. Nikawauliza kwa nini mmeweka hii hapa. Kwani nyie hamjui kama huu mlima haupo Kenya. Nikaanzisha ugomvi tu kuwafundisha. Wakaishia kuomba msamaha.
Najua kama hakuna walichofanya baada ya hapo ila meseji sent. Sahivi ni vita tu nyie nyang'au! !!
Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? Wakorea au watanzania? Hilo kosa lao haliwahusu wakenya hata kidogo. Korean wakiamua kuitumia mbinu hiyo kuendeleza biashara zao huwa wanalazimika kisheria kuwaeleza wateja wao kuhusu 'connecting flight' ya kuunganisha kutoka Nairobi hadi Tz. Nairobi kutumiwa kwa njia hiyo huwa ina madhara yake pia. Huwa Naona France24, Aljazeera, BBC, CCTV, CNN wakiripoti kuhusu vita au maafa kule Kinshasa, Mogadishu, Malakal au Juba wakiwa kati kati mwa jiji la Nairobi. Alafu hapo chini wana 'caption', Reporting from Nairobi, Kenya.
Kuna option nyingine nzuri zaidi, IGNORE. Wanaijeria huwa wanasema, no be by force oo!Wakenya mnaandika comment refu kama ndiyo uzi vile... na hakuna hata aya wazee. Maze tutamezea wapi tukiwa tunasoma?
Hata mtu akitaka kuwaqoute anashindwa aanzie wapi.
Tujaribu kufupisha michango na maoni yetu yasomeke vizuri. Na hayana hata aya.
Haha!🤣🤣 the map you post all the time shows that you are using 'Sublimation' type of mental mechanism, which is considered a positive strategy (anger management exercises to help you stay calm) to redirect strong emotions or feelings into an object or activity that is appropriate and safe...Dah! Mataifa yote haya tumezuia ndege zao wangekua wanalialia kama Watanzania sijui tungefanya nini haswa, tumezuia hadi Marekani, Sweden, India n.k, ila cha msingi na muhimu sana kwetu ni usalama wa afya zetu, na kwa vile mumepiga makelele sana hadi mnatia huruma kwa jinsi mnang'ang'ania kuja kwetu, basi mtaruhusiwa kuja ila lazima kila anayekuja na paspoti ya Tanzania apanue mdomo na kutumbukizwa kifaa cha kupima corona, ikigundulika amesheni virusi anageuzwa kwa gharama zake. Lazima tuwapime kama tunavyofanya pale mpakani, pale ambapo mlipiga makelele kama haya ikabidi tuwahurumie.
Watanzania hili la corona mumedhihirisha udhaifu mkubwa sana na imekua mwendo wa tahadhari kutolea na mataifa mengi dhidi yenu licha ya nyie kujiaminisha kwamba hamna corona.
Mnatiwa alama nyekundu kote...
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Kwani mnawaleta BURE??achani ET, watatuletea badala Yenutunawaletea watalii na wajasiriamali, watu wenye pesa zao.... huoni kama hio ni faida kwenu?
but what do you do in return? munatuletea magonjwa na vitu vya ajabu ajabu
heri ndege igeuze kitupu au hata ibebe ng'ombe kuliko kubeba Mtanzania.... itapendeza zaidi
ndege za Ehiopia ni chafu na zimejaa kunguni. abiria wana-prefer Kq kwa asilimia kubwa sana kwa mambo mengi.Kwani mnawaleta BURE??achani ET, watatuletea badala Yenu
Mungu anakuona,Nyie ndege zenu, siwezi nikasema ni chafu ila, wahudumu wenu, ni wabaya sijawahi kuona,huwezi linagnisha na ET,kwanza shirika lenu, ndege zenu zishazeekandege za Ehiopia ni chafu na zimejaa kunguni. abiria wana-prefer Kq kwa asilimia kubwa sana kwa mambo mengi.
[emoji16][emoji16][emoji16]kwamba tatizo lao sio dogo ni Mungu mwenyewe ndio kawapa hilo tatizo[emoji23][emoji23].Mungu anakuona,Nyie ndege zenu, siwezi nikasema ni chafu ila, wahudumu wenu, ni wabaya sijawahi kuona,huwezi linagnisha na ET,kwanza shirika lenu, ndege zenu zishazeeka