Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Mbn imewauma hivi, kila mtu malaya wapuuzi baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Kweli aiseee kama wanajulikana hebu tusubiri
 
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.

Biashara ya Ngono USA ni legal.

What about you and your family back here in Tz?

Kawahoji dada zako uzuri watakuambia wametoa mimba ngapi za waume wa WATU.

Tena yule dada yako chakumbimbi aliyeshindwa kuendelea na masomo
 
mtofoutishe diamond ambaye yupo pale kimaslahi na huyu malaya wa kichaga ambaye kutwa nzima amekuwa ni mtu wa kuzusha vitu vya ajabu juu ya Kiongozi wetu mpendwa JPM.....

Ni mwanamke mchonganishi sana ambaye hastahili kuitwa mama... sipatii picha hao watoto wake anawalea vipi?
Povu la nini wasema kweli kwenu hawastahili kuishi. Huyo umwitae malaya hajawahi kuongopa tangu autambue ukweli. Mungu mlindee mtu wako maana tumetangaziwa kifo sote
 
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Una vithibitisho?
Bora kushabikia mtu anayefanya biashara ya ngono marekani na aliyeipigia kampeni ccm na aliyewahi kugombea kupitia ccm kuliko mtu kama wewe unayeishi maisha ya kuigiza huku ukijua kuwa ukifa leo utaulizwa damu ya watanzania kibao plus ya beni saanane.
 
Nashangaa mjomba Wangu katekwa akili na mange akishasema mange ndo bas kamfundisha unyumbu siku hizi anawafatilia hata akina wema
Mkuu Mange ni janga kwa akili zetu hizi za kibongo zisizojaa kiganjani. Kuna zee linakomaa kutwa nzima instagram page ya Mange. Asemacho mange kwake kama neno toka vitabu vya dini hizi mbili maarufu hapa bongo.
 
Unaweza kukuta hata Baba na Mama yako nao pamoja na Ndugu zako wote pia ameshawashika akili zao ila Wewe ' Mbayuwayu ' hujajua tu.
Mkuu si umesema leo unasoma tu.? Maana na mimi nilikuwa nasoma tu, ila imenilazimu niandike kukukumbusha.
 
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.

Kama inalipa mwache afanye.Ni haki yake na as long as analipa kodi huko.
Cha muhimu usihukumu usije hukumiwa.Weekend njema
 
Nashangaa mjomba Wangu katekwa akili na mange akishasema mange ndo bas kamfundisha unyumbu siku hizi anawafatilia hata akina wema

Kwenye upelelezi au uchunguzi wale wenye taaluma yao,hata kichaa akiropoka wanafanya kazi maneno yake.

Yawezekana kati ya maneno kumi ya Mange 4 ni ya kweli.
 
Facts za mwehu ni pumba

Facts za Mwehu kwenye professional uchunguzi hufanyiwa kazi.Enzi za JKN jamaa hawa walikuwa wanaact kama walevi wa bongo au vichaa.Pole sana
 
Una vithibitisho?
Bora kushabikia mtu anayefanya biashara ya ngono marekani na aliyeipigia kampeni ccm na aliyewahi kugombea kupitia ccm kuliko mtu kama wewe unayeishi maisha ya kuigiza huku ukijua kuwa ukifa leo utaulizwa damu ya watanzania kibao plus ya beni saanane.
Hakuna mwanamke anayeuza uchi na wala hakuna mwanamke anayetowa bure.

Ajitokeze kidume hapa atupe ushuhuda kwamba kila baada ya game anaachana vipi na demu anampa pesa au hampi pesa? Tuache unafki hakuna mwanamke anayetowa bure huu ndio ukweli na tuukubali sasa.

Na kwa utafiti wangu wa uhakika nilioufanya wale wanawake wa kupatana nao malipo ndio gharama nafuu kuliko hawa unaonunuwa bila kujijuwa tena ukianza na kumgharamia kwenye starehe bia, msomi zawadi n:k. Na pesa juu.

Wale wa kupatana malipo hawana haja na fadhira zote hizo, wanaheshimu sana makubaliano na baada ya kumaliza mkataba hakuna lawama wala kuitana kibamia na kesho ukiwa na rafiki yake kiroho safi tu.

At your risk.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom