Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aiseee kama wanajulikana hebu tusubiriMange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Povu la nini wasema kweli kwenu hawastahili kuishi. Huyo umwitae malaya hajawahi kuongopa tangu autambue ukweli. Mungu mlindee mtu wako maana tumetangaziwa kifo sotemtofoutishe diamond ambaye yupo pale kimaslahi na huyu malaya wa kichaga ambaye kutwa nzima amekuwa ni mtu wa kuzusha vitu vya ajabu juu ya Kiongozi wetu mpendwa JPM.....
Ni mwanamke mchonganishi sana ambaye hastahili kuitwa mama... sipatii picha hao watoto wake anawalea vipi?
Una vithibitisho?Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Mkuu Mange ni janga kwa akili zetu hizi za kibongo zisizojaa kiganjani. Kuna zee linakomaa kutwa nzima instagram page ya Mange. Asemacho mange kwake kama neno toka vitabu vya dini hizi mbili maarufu hapa bongo.Nashangaa mjomba Wangu katekwa akili na mange akishasema mange ndo bas kamfundisha unyumbu siku hizi anawafatilia hata akina wema
Pambana na hali yako broo, ohooooIts doesn't matter whether anauza nyapu au la,kwake ni facts tu.Eti anauza nyapi wewe ndo dalali wake?
Kuna muuza nyapu na muuza ufahamu, yupi ni bora?Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Chanjo = ChanzoUjinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
SIYO VIBAYA MJAMAA KUJIFUNZA MBINU BORA ZA KILIMO KUTOKA KWA BEPARI.HIYO NI FALLACY OF GENERALIZATION IF NOT OF IGNORANTNi aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Mkuu si umesema leo unasoma tu.? Maana na mimi nilikuwa nasoma tu, ila imenilazimu niandike kukukumbusha.Unaweza kukuta hata Baba na Mama yako nao pamoja na Ndugu zako wote pia ameshawashika akili zao ila Wewe ' Mbayuwayu ' hujajua tu.
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Nashangaa mjomba Wangu katekwa akili na mange akishasema mange ndo bas kamfundisha unyumbu siku hizi anawafatilia hata akina wema
Facts za mwehu ni pumba
Hakuna mwanamke anayeuza uchi na wala hakuna mwanamke anayetowa bure.Una vithibitisho?
Bora kushabikia mtu anayefanya biashara ya ngono marekani na aliyeipigia kampeni ccm na aliyewahi kugombea kupitia ccm kuliko mtu kama wewe unayeishi maisha ya kuigiza huku ukijua kuwa ukifa leo utaulizwa damu ya watanzania kibao plus ya beni saanane.
Heri malaya aliye mkweliNi aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.