Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Wapotee mara ngapi mkuu... Hawajitambui hivi sasaUjinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Moja ya vigezo vya kujiunga na gurumumba kids ni KUJITOA UFAHAMU.Ajabu wanaomponda mange hapa jf ndio hao hao followers wake. Kila anachopost instagram mnakisoma kimya kimya then mkija hapa jf mnamponda eti muuza nyapu hahaha lumumba fc kazi mnayo
Kuamini mtu ni uzuzu, unaamini taarifa baada ya kuiangalia nakuona fact zake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili ndefu ni kumwamini Mange.?
Hii inafanana na hadithi ya yule limbukeni aliyepewa ufalme.Chama kinaombwe la uongozi na washabiki chama kimefikia kusubiria udaku wa insta kweli slaa aliindoka na chadema maono!
Aibu pia kutosadiki ushahidi usio na mashaka kwenye jambo lolote hata ukitolewa na mtu ambae MAHAKAMA inaweza kumuita na kupokea ushahidi wake.Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Mkuu hali ndiyo hiyo na si jambo la siri inajulikana wazi kabisa,sema kwa kuwa watu nao wanataka kusikia wanavyovipenda tu basi ndiyo maana wanaona sawa na Mange hivyo ndivyo anavyotaka.Kumbe hapingwi! Unasema ukimpinga tu anakublock? Huyu ndiye tunamshangilia kwamba ni mwanademokrasia kumbe hataki kupingwa
Na hicho ndicho anachokitaka Mange,sasa nenda kumjaribu kupingana na taarifa zake uone kama hajakublock.Mtu yeyote akiniambia ana taarifa za waliomdhuru Lissu hata kama anaokota makopo nitamsikiliza..
Na hicho ndicho anachokitaka Mange,sasa nenda kumjaribu kupingana na habari zake uone kama hajakublock.Mtu yeyote akiniambia ana taarifa za waliomdhuru Lissu hata kama anaokota makopo nitamsikiliza..
Sasa kwanini ana block watu wanaohoji na kupingana na taarifa zake?She is a whistle blower and they are all over the World..
Wewe kama unamchukulia ni Malaya hilo ni juu yako..
Lakini unajua ukweli kwamba Mange ana influence kubwa katika Siasa za Tanzania na ndio maana vijana wa Lumumba mkisikia jina lake gafla huwa mnaingia mwezini..
Ndio ivyo watu wanaosubiria hiyo habari itakayopasua anga.
Mkuu unasema sio muoga wakati anapigana nje ya ulingo na pia anaogopa tu hata mawazo ya kupingwa,Mange ukipingana nae ana kublock.kabisa mkuu.huyu binti si muoga kabisa lissu alijaribu wakataka kumuua sasa nani atatusemea watanzania. masisiemu yote yamebaki kama makondoo mbele ya chui magufuli kawatia mfukoni wote
Yule dada yeye anapenda kusifiwa tu,ni wazi hata Jf haiwezi maana angeblock watu humu hadi mwisho angebaki mwenyewe.kumbe habari inatoka kwa dikteta Mange Kimavi maana kule ukibishana nae tu unakula ban sasa anatofauti gani na Kagame
Sasa kwanini ana wablock wale wenye mawazo tofauti na habari anazoweka huko Instar?Kama Mtu anasema jambo na ushahidi lazima aaminike,na hili ni kwa wale tu wanaojitambua mkuu
Wewe unafanyia biashara hiyo hapa tz?Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Wewe *chanjo* chako ni kipi? Na wewe ujinga wako ni kuteka na kuwamiminia marisasi watu wasiokubaliana na wewe? TAL alitwambia khs ndege kukamatwa kutokana na deni lililotokana na kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara. Ni kweli au ni urongo?Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Wengine wana mfollow kwa kupata habari za umbeya kama za Diamond na maisha ya wetu wengine.Mange anatoa fact na ukitaka kujua angalia no. ya watu wanaomsoma.
Pimbi wako wenyewe wanasoma post page yake kila siku.
Kama hawasomi waambie wanyamaze hivyohivyo
Kwanini ana block watu wanaompinga?Utakoma, huyo dada msema kweli mpenzi wa Mungu, uhaa hilo huko tulishatoka ukiambiwa ukweli unaua