Jpm alitamka hadharani kuwa alipoingia madarakani sukari ilikuwa sh. 5000, UONGO UONGO UONGO MTUPU!! huoni wanaosema uongo ni serikali ikiongozwa mfalme?By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?
Tukijiuliza hilo na kupata jibu basi tutawaachia wanaohusika watupe majibu na si huyu.
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Mkuu nmeshindwa kupronounce ID yakoTatizo ni pale uhuru wa kujieleza unapokandamizwa watu watasikiliza chanzo chochote kile mbadala kiwe cha kweli au cha uongo.
Umedhirisha kuwa una msongo wa mawazo, dah yaani unavuta picha lijamaa lina mdevu kama usama lina msukumiza mbuzi kagoma hahahahahaha!Ngoja wamule tu coz hata nilivyomuoa nilikuta ashaliwa tatizo liko wapi hapo?
tatizo vijana wa karne mihemuko ina wa cost sana....
Namfatiliaje mkuu wakati kuna member mwenzetu alileta uzi humu!!!kumbe unamfuatilia mange safi sana.
Mwambie huyo muhenga kwenye avatar yako.Mkuu nmeshindwa kupronounce ID yako
Bei ya bidhaa yoyote ni SUPPLY na DEMAND ikiwemo sukari. Kupanda na kushuka kunategemea mambo kama hayo.Jpm alitamka hadharani kuwa alipoingia madarakani sukari ilikuwa sh. 5000, UONGO UONGO UONGO MTUPU!! huoni wanaosema uongo ni serikali ikiongozwa mfalme?
Akikujibu unishtue!!Wewe *chanjo* chako ni kipi? Na wewe ujinga wako ni kuteka na kuwamiminia marisasi watu wasiokubaliana na wewe? TAL alitwambia khs ndege kukamatwa kutokana na deni lililotokana na kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara. Ni kweli au ni urongo?
Akiingia madarakani bei ya sukari ilikuwa kati ya tsh 1600 - 1800.Bei ya bidhaa yoyote ni SUPPLY na DEMAND ikiwemo sukari. Kupanda na kushuka kunategemea mambo kama hayo.
UchocheziAkiingia madarakani bei ya sukari ilikuwa kati ya tsh 1600 - 1800.
Muongo mkubwa eti anatuambia ilikuwa 5000!
Kwa mfano huo Mange is far more credible than king Huhihuhi.
Aisee! Haya bhana!Akiingia madarakani bei ya sukari ilikuwa kati ya tsh 1600 - 1800.
Muongo mkubwa eti anatuambia ilikuwa 5000!
Kwa mfano huo Mange is far more credible than king Huhihuhi.
Mbona hakuna hiyo bomb shell
Ungenisoma vema ungenielewaKwa kukusaidia tu tafuta nyuzi za Bavicha kumponda Mange wakati yupo ccm, halafu tafuta nyuzi za Mange kumponda Lowasa wakati yupo ccm na alivyohamia Chadema.....
Huyo Dada usimwamini kiasi hicho....kwa siku za karibuni wameshirikiana kwa karibu sana na Chadema....ila Chadema wajiandae maana ni kama Mange ameshika mpini wao wameshika makali.
Siku akitofautiana na Chadema sijui itakuaje.....muda utaongea.
Bora Mange kuliko Sirro aka ZiroUjinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Una ushahidi anafanya biashara ya ngono?Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Hata ukimtafuta bwana Max sidhan hata atakupa dakika 2 kumshauri hilo jamboInabidi lianzishwe jukwaa maalum la udaku na mipasho kwa wanawake na wanaume wnye tabia za kike (mashoga) iwe sehemu ya kutupia uchafu kama huu..
Mkuu naww unahusika nn?, mbona povu sana?. Ni aibu kusemea maisha ya mtu binafsi, huu ni ulimbukeni pia.Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
aibu sana kwa CHADEMA kufuatilia habari za kahaba Mange