jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Jpm alitamka hadharani kuwa alipoingia madarakani sukari ilikuwa sh. 5000, UONGO UONGO UONGO MTUPU!! huoni wanaosema uongo ni serikali ikiongozwa mfalme?By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?
Tukijiuliza hilo na kupata jibu basi tutawaachia wanaohusika watupe majibu na si huyu.