Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Mikahaba imejaa ccm inapambania vyeo, hebu mwacheni Mange
 
Mangi Kimambe akirudi Bongo, ashukie na Ndege Malawi aingie Tanzania kupitia border ya Kasumulu kwenye gari tinted, maana Bashite anamsubiri kwa hamu amtwange risasi za tumbo kama Tundu Lissu
 
Mbona kama page yake haipo ya instagram?
 
Albadiri vp haijajibu [emoji23][emoji23] mange bwana kujifanya mjuaji kila kitu anajua yeye
 
By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?
Tukijiuliza hilo na kupata jibu basi tutawaachia wanaohusika watupe majibu na si huyu.
Either way, na wewe leta ushahidi wako ili tuone pale ambapo kuna tafauti ya ukweli kuhusu lolote lile alilotuma.
Ikitokea hivyo tutakuja kwako sasa muheshimiwa
 
Mange analaumu mbowe kwa asilimja zote anasema anahusika na udharimu huu
Kwa sababu ya uenyekiti anakumbushia ya chacha w na zitto
Subir leo
 
Hoja si kwamba anao uwezo wa kufanya hivyo au hana bali kwanini afanye hivyo ni kipi anachokiogopa? Mimi nauliza sababu za yeye kufanya hivyo na si suruhisho la kukabiliana na hicho anachokifanya.
Anachokifanya ni hiyari yake mwenyewe wala havunji sheria ya jambo lolote lile!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…