Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Hofu yangu wasije wakamtumia Uwongo ili kuvuruga upelelezi na kufanya Misinformation ili kuwaaminisha watu kitu tofauti na Uhalisia!!.
Waliotakiwa kuonyesha uhalisia ni polisi ambao kwa kutokuonyesha, INA maana wameshindwa! Ngojea wanaojua wawaonyeshe watanzania kilichotokea. Kikiwa ni kweli au so kweli polisi ndo watapata angalau pa kuanzia, vile walisema yeyote mwenye info awapelekee"
 
Huyu si anatoa news kama mtu mwingine yeyote? Yeye akisema jambo likafuatiliwa, ina maana kuwa habari zake huwa zinaibuka kuwa kweli kwa asilimia kubwa, simple. Ushawishi unatokea kwenye mafanikio hayo, sio uchama.

Maendeleo ya chama sio kuwa na chanzo cha habari. Ni kuwa na itikadi za maendeleo na wanaozieneza.
Chanzo chochote cha habari ni kwa jumuia yote, jinsi wanavyoimarika katika ukweli waupatao kwenye hicho chanzo... Huo ni ubinadamu sio uchama
Mange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.
 
Tukubali ya jana kuhusu Baraza la Mawaziri ilimpita Mange,maana kama angekuwa nayo angeitoa kabla ya Mh.Rais kutangaza.Hii ina maana vyanzo vyake vya habari sasa tumeanza kuvidhibiti na sooner or later na yeye pia tutamdhibiti.
GOOD DAY COMRADES.
Baada ya kutolewa waziri wa magazeti. Mange hanaswaga tena.
 
Who is mange kimambi "???jamii forum as a social media need to take care things you are posting, have are time to recognize you ill infinitive and atractive by doing perfect not by such stupid post
 
By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?
Tukijiuliza hilo na kupata jibu basi tutawaachia wanaohusika watupe majibu na si huyu.
Haiwezi kuwa ukweli usiopingika mpaka uwe ukweli. Kilichopo hapa ni kwamba habari zake zinaweza kuwa zinaishia kuwa ukweli unaodhihirika. Kama hamna mafanikio hayo hakuna binadamu atapoteza muda kufuatilia.
 
we **** kumbe upo?? Hivi wewe na Mange Kimambi nani ana influences kwenye jamii?? Wewe itokee uchangishe hata dola 2000 utaweza? Watu wengine mmetiwa sumu akili zenu hamsikii lolote. Wewe ndio wa kumdharau mange wewe ha ha ha you're just kidding [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Friday hawa wasikusumbue, wanajua potentialities za Mange, wanamsema kujifariji. Mange is potential, ukimruhusu akapanda jukwaani akapiga kampeni za kisiasa atawabwaga wengi!
 
Kudhani. Kufikiria. Kuhisi. Ni kutaka watu wakuelewe vinginyo. Hili kuichukua serekali yao. Najua akuna sir i ya watu zaidi ya wawili. Unayotaka kutueleza ni vitu vya kudhani. Hili la Lissu ujui kitu wewe. Uache ujinga wako wa kuthani vijana wa Kitanzani awana akili. Wee bwabwaja hivyo ukidhani tunakuelewa.......
 
ustaarabu gani alioutumia hapo kuiingiza familia yangu kwenye mada husika....? angekuja kiistaarabu ningemjibu kiistaarabu pia?
Wewe ndo umepoteza ustahimilivu mwanzoni, ukapewa overdose. Ukiwa negative kwenye hoja huwezi kosa majibu
 
Who is mange kimambi "???jamii forum as a social media need to take care things you are posting, have are time to recognize you ill infinitive and atractive by doing perfect not by such stupid post
Tunashukuru kwa kusoma Bwiru Girls.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom