G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,737
- 1,891
Waliotakiwa kuonyesha uhalisia ni polisi ambao kwa kutokuonyesha, INA maana wameshindwa! Ngojea wanaojua wawaonyeshe watanzania kilichotokea. Kikiwa ni kweli au so kweli polisi ndo watapata angalau pa kuanzia, vile walisema yeyote mwenye info awapelekee"Hofu yangu wasije wakamtumia Uwongo ili kuvuruga upelelezi na kufanya Misinformation ili kuwaaminisha watu kitu tofauti na Uhalisia!!.