Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana gani?Vipi wengine mmempata?
Nimeifungua ( page ya mange) ilikua inagoma basi potezea labda ni network yangu huku sitimbiUna maana gani?
Haya.Nimeifungua ( page ya mange) ilikua inagoma basi potezea labda ni network yangu huku sitimbi
Kwani Mange anategemea kutoa tamko la chama gani?Mange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.
Nimeongea nae anasema kumbe sio Leo ila mchoro mzima ameupata watu wameuza teamUmeshapaka tayari na mosquito repellent Mkuu?
IpoMbona kama page yake haipo ya instagram?
[HASHTAG]#teammangekasema[/HASHTAG]
Either way, na wewe leta ushahidi wako ili tuone pale ambapo kuna tafauti ya ukweli kuhusu lolote lile alilotuma.By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?
Tukijiuliza hilo na kupata jibu basi tutawaachia wanaohusika watupe majibu na si huyu.
Sidhani ndio nimeona hii thread leo, nasubiria.Vipi, keshasema?
Fungua forum yako ukahoji sio kwenye account yake binafsiHiyo hoja yake unaijadilia wapi? maana kule ukihoji ana kublock hana tofauti na yule mwengine.
Anachokifanya ni hiyari yake mwenyewe wala havunji sheria ya jambo lolote lile!!Hoja si kwamba anao uwezo wa kufanya hivyo au hana bali kwanini afanye hivyo ni kipi anachokiogopa? Mimi nauliza sababu za yeye kufanya hivyo na si suruhisho la kukabiliana na hicho anachokifanya.