Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Poleeee sana mkuu
 
Hapo bado kimambi hajafunguka lakini povu linawatoka he akifunguka si mtateka kabisa
 
Huyi Kimavi Ndo FBI nini !?
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
kwa akili yenu hasa mnadhani chadema ndio wanaopeleka habari kwa mange, chadema wanajua nini kuhusu serikali, ni nyie nyie ccm ndio mnaopeleka hayo mambo na mange anayatoa, kwani nyie mumekuwa waoga kuyasema,
 
Tukubali ya jana kuhusu Baraza la Mawaziri ilimpita Mange,maana kama angekuwa nayo angeitoa kabla ya Mh.Rais kutangaza.Hii ina maana vyanzo vyake vya habari sasa tumeanza kuvidhibiti na sooner or later na yeye pia tutamdhibiti.
GOOD DAY COMRADES.
 
Sasa hivi imekua ni bora kusikiliza ya Mange kuliko kumsikiriza Siro, maana kama Mange ni Muongo basi Siro ni Mtatanishi kabisaa yaani muongo aliyepitiliza
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Hapana, Mange anaongea facts ambazo hupashwi kuzipuuza, never utakuwa hujielewi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…