Waliotakiwa kuonyesha uhalisia ni polisi ambao kwa kutokuonyesha, INA maana wameshindwa! Ngojea wanaojua wawaonyeshe watanzania kilichotokea. Kikiwa ni kweli au so kweli polisi ndo watapata angalau pa kuanzia, vile walisema yeyote mwenye info awapelekee"Hofu yangu wasije wakamtumia Uwongo ili kuvuruga upelelezi na kufanya Misinformation ili kuwaaminisha watu kitu tofauti na Uhalisia!!.
Mange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.
Baada ya kutolewa waziri wa magazeti. Mange hanaswaga tena.Tukubali ya jana kuhusu Baraza la Mawaziri ilimpita Mange,maana kama angekuwa nayo angeitoa kabla ya Mh.Rais kutangaza.Hii ina maana vyanzo vyake vya habari sasa tumeanza kuvidhibiti na sooner or later na yeye pia tutamdhibiti.
GOOD DAY COMRADES.
Miruzi mingi ilimfanya mbwa aliweTuko tayari kusikiliza na kuona kila ushahidi kutoka chanzo chochote kile .
Huyu c anatoa habari za kijamii? Au kuna jingine labda.Chama kinaombwe la uongozi na washabiki chama kimefikia kusubiria udaku wa insta kweli slaa aliindoka na chadema maono!
Haiwezi kuwa ukweli usiopingika mpaka uwe ukweli. Kilichopo hapa ni kwamba habari zake zinaweza kuwa zinaishia kuwa ukweli unaodhihirika. Kama hamna mafanikio hayo hakuna binadamu atapoteza muda kufuatilia.By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?
Tukijiuliza hilo na kupata jibu basi tutawaachia wanaohusika watupe majibu na si huyu.
Friday hawa wasikusumbue, wanajua potentialities za Mange, wanamsema kujifariji. Mange is potential, ukimruhusu akapanda jukwaani akapiga kampeni za kisiasa atawabwaga wengi!we **** kumbe upo?? Hivi wewe na Mange Kimambi nani ana influences kwenye jamii?? Wewe itokee uchangishe hata dola 2000 utaweza? Watu wengine mmetiwa sumu akili zenu hamsikii lolote. Wewe ndio wa kumdharau mange wewe ha ha ha you're just kidding [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ungeeleweka zaidi kwa kiswahili kuliko lugha ya mkoloni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Who is mange kimambi "???jamii forum as a social media need to take care things you are posting, have are time to recognize you ill infinitive and atractive by doing perfect not by such stupid post
Wewe ndo umepoteza ustahimilivu mwanzoni, ukapewa overdose. Ukiwa negative kwenye hoja huwezi kosa majibuustaarabu gani alioutumia hapo kuiingiza familia yangu kwenye mada husika....? angekuja kiistaarabu ningemjibu kiistaarabu pia?
Tunashukuru kwa kusoma Bwiru Girls.Who is mange kimambi "???jamii forum as a social media need to take care things you are posting, have are time to recognize you ill infinitive and atractive by doing perfect not by such stupid post