sostenes mbwelwa
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 289
- 139
AhsanteUngeeleweka zaidi kwa kiswahili kuliko lugha ya mkoloni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaha....Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Kamanda Siro ndo aliomba "mtu yeyote" mwenye Taarifa atoe....sasa wewe unawashwa na nini?Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Mbona kama unakauoga kaka kwani hili la Lissu wewe unamwamini nani!!Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Tuko tayari kusikiliza na kuona kila ushahidi kutoka chanzo chochote kile .
These niggas are unkowngly becoming blinded. Mange is jesus, mohamed, and she is becoming "he" to them. Damn. Thanks for letting them know.Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Mange bana sijui hiyo bombshell ndo habari za kina mobeto
Nope...kuwa mwepesi wa kuwa less emotional. No where jamaa kasema anataka umwamini yeye. Anawakumbusha tu kuwa Mange naye ni mtu kama wewe na mimi tu. Upilike Mwakibebete!Mkuu basi acha tukuamini wewe.
Uko na clue?. Share basi tuupate huo ukweli!Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Jama...!? Ndo kiivi?WW NENDA KAMSIKILIZE POLEPOLE ACHANA NA CC KIBALAKA MKUBWA WW NAMUNGU AKUCHAPE FIMBO
Kiaje?Badamu batachuruzikaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna ukweli anaujua acha amsaidie IGP sirro wetu.Unaamini Wema analala Madale? Ha ha ha.
Brief and simple. Nimeipenda hiyo "sawa"sawa
Mbona mwanamziki diamond ana kashifa za umalaya lkn mnatumia kwenye kampeni?na mnamwalika ikulu?au hamjui neno Malaya maana yake nini?