Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Kamanda Siro ndo aliomba "mtu yeyote" mwenye Taarifa atoe....sasa wewe unawashwa na nini?
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Mbona kama unakauoga kaka kwani hili la Lissu wewe unamwamini nani!!
 
Mhhh we trust her keep up mange kimambi kwa yeyote anaye focus far zaidi lazima awe against na .....
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
These niggas are unkowngly becoming blinded. Mange is jesus, mohamed, and she is becoming "he" to them. Damn. Thanks for letting them know.

Spalgis epius
 
Mkuu basi acha tukuamini wewe.
Nope...kuwa mwepesi wa kuwa less emotional. No where jamaa kasema anataka umwamini yeye. Anawakumbusha tu kuwa Mange naye ni mtu kama wewe na mimi tu. Upilike Mwakibebete!

Spalgis epius
 
Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Uko na clue?. Share basi tuupate huo ukweli!

Spalgis epius
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom