Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
IGP hawezi kusaidiwa na stori za udaku na umbea.kuna ukweli anaujua acha amsaidie IGP sirro wetu.
Dah hebu jaribu kufikiri kabla ya kutoa postUjinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Ni watoto wa mwiguru,Siro nk wanaoweza Kukomenti kama wewe wengine tunahisia zetu, akili zetu na hakuruhusu ujinga kuongoza, ahame on youUjinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Vipi mange ameshajilipua[emoji12]Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.
Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Mbona kimyaTuko tayari kusikiliza na kuona kila ushahidi kutoka chanzo chochote kile .
Kitu muhimu ni 'facts and figures'atakazo present ...ngoja afunguke!Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Nani kasema anavunja sheria?Anachokifanya ni hiyari yake mwenyewe wala havunji sheria ya jambo lolote lile!!
Basi kama havunji sheria ana haki ya kuwa-block asiowataka!Nani kasema anavunja sheria
Basi awaeleze wanae huko kama hataki kuona mtu anampinga kwenye instar yake.Fungua forum yako ukahoji sio kwenye account yake binafsi
Huna sababu ya kuvimba au kushangilia wakati hujuk atasema nini na atatoe vielelezo gani. Mwenye akili haangalii taarifa imetolewa na nani bali huitathmini taarifa iliyotolewa.Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Ni kweli asiowataki maana yeye anataka wale wenye kumsifia tu kwa yale anayoandika na si kupingwa,yani kila atakalo liandika watu wakubali tu hakuna kuhoji.Basi kama havunji sheria ana haki ya kuwa-block asiowataka!