Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Dah hebu jaribu kufikiri kabla ya kutoa post
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Ni watoto wa mwiguru,Siro nk wanaoweza Kukomenti kama wewe wengine tunahisia zetu, akili zetu na hakuruhusu ujinga kuongoza, ahame on you
 
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.

Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.

Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.

Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Vipi mange ameshajilipua[emoji12]
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Kitu muhimu ni 'facts and figures'atakazo present ...ngoja afunguke!
 
Anachokifanya ni hiyari yake mwenyewe wala havunji sheria ya jambo lolote lile!!
Nani kasema anavunja sheria?

Kwanini aogope kupingwa na si kujibu hoja za wanaompinga? havunji sheria ila kitendo chake cha kublock watu wanaompinga kinaonesha ni mtu wa aina gani.
 
Halafu ni Instargram ipi ambayo Mange kaandika hayo maneno?
 
Fungua forum yako ukahoji sio kwenye account yake binafsi
Basi awaeleze wanae huko kama hataki kuona mtu anampinga kwenye instar yake.

Anaimba demokrasia wakati yeye hata kuvumilia mawazo ya watu wanaompinga instar tu hawezi,sasa mtu kama huyu akiwa kiongozi wa nchi unategemea nini?
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanzo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Huna sababu ya kuvimba au kushangilia wakati hujuk atasema nini na atatoe vielelezo gani. Mwenye akili haangalii taarifa imetolewa na nani bali huitathmini taarifa iliyotolewa.
 
naona nyumbu tayari kaisha tokwa povu wewe tulia Mange akupe data
 
Basi kama havunji sheria ana haki ya kuwa-block asiowataka!
Ni kweli asiowataki maana yeye anataka wale wenye kumsifia tu kwa yale anayoandika na si kupingwa,yani kila atakalo liandika watu wakubali tu hakuna kuhoji.

Halafu mtu kama huyo nae anamlalamikia kiongozi asiyependa kupingwa kumbe jamii yetu wenyewe tunzalisha watu wa aina hiyo.

Wewe kama umeshindwa kuvumilia mawazo ya watu kwenye instar tu vp ukiwa ndiyo mkuu wa nchi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom