Daah bora iwe ivo mkuuMange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.
Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
mtofoutishe diamond ambaye yupo pale kimaslahi na huyu malaya wa kichaga ambaye kutwa nzima amekuwa ni mtu wa kuzusha vitu vya ajabu juu ya Kiongozi wetu mpendwa JPM.....Mbona mwanamziki diamond ana kashifa za umalaya lkn mnatumia kwenye kampeni?na mnamwalika ikulu?au hamjui neno Malaya maana yake nini?
Yetu na nani....?.....Ila akiposti ya kwenu myapendayo mnakenua midomo na vidole juu kama wacheza taarab.
....Lumumbus FCYetu na nani....?
Siko na sijawahi kuwa huko.!....Lumumbus FC
Mbowe aliwaambia huwezi kufanya siri mkiwa kundi!Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Mange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.
Hata wewe?Watanzania Wanasubiri...
....Sasa kwa nini unapenda kuwanyooshea wenzio vidole? Nani asiyejua kwamba Mange data zake nyingi anapewa from key sources hapa hapa nchini? Kuna watu wengi from big offices ambao hawawezi kutoa information wanamtumia yeye. Kama unadhani anakurupuka tuu watu wasingemfuatilia.Siko na sijawahi kuwa huko.!
Atagombea uenyekiti wa chamaMange ana sauti kuliko mbowe,hatari xnaaa
Mmmh cjui kama watakuelewaKaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.
Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.