Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Daah bora iwe ivo mkuu
 
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.

Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.

Amesema tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.

Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."

Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
IMG_20171006_220846_022.jpg

Black diaspora
Black in the new word

Weka bunduki chini tubishane Kwa hoja

Mzee tupatupa wa gurumumba
 
Mbona mwanamziki diamond ana kashifa za umalaya lkn mnatumia kwenye kampeni?na mnamwalika ikulu?au hamjui neno Malaya maana yake nini?
mtofoutishe diamond ambaye yupo pale kimaslahi na huyu malaya wa kichaga ambaye kutwa nzima amekuwa ni mtu wa kuzusha vitu vya ajabu juu ya Kiongozi wetu mpendwa JPM.....

Ni mwanamke mchonganishi sana ambaye hastahili kuitwa mama... sipatii picha hao watoto wake anawalea vipi?
 
Kwa nini wana CCM na baadhi ya watu wanaoamini kwamba wao wana "akili sana" humu JF wakisikia mtu kapata habari toka kwa Mange Kimambi wanashikwa na harara ya akili?

Kwani kama Mange ni mpuuzi ama mzushi si aachwe na Mashabiki wake wasonge mbele kwenye njia yao ya maangamizi. Mbona pamoja na madudu yote yanayofanywa na CCM bado wapo watu wanaoishabikia kama Mungu wa Baniani?

Mtu kuwa shabiki wa Manchester United ama Barcelona hakuzuii wengine kuwa mashabiki wa Arsenal!
 
Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Mbowe aliwaambia huwezi kufanya siri mkiwa kundi!
Mange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.
 
Chama kinaombwe la uongozi na washabiki chama kimefikia kusubiria udaku wa insta kweli slaa aliindoka na chadema maono!
 
Siko na sijawahi kuwa huko.!
....Sasa kwa nini unapenda kuwanyooshea wenzio vidole? Nani asiyejua kwamba Mange data zake nyingi anapewa from key sources hapa hapa nchini? Kuna watu wengi from big offices ambao hawawezi kutoa information wanamtumia yeye. Kama unadhani anakurupuka tuu watu wasingemfuatilia.
 
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.

Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.

Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.

Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."

Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
Mmmh cjui kama watakuelewa
 
By the way Mange ndo nani katika taifa letu hata tuone kuwa kila anacho post ni UKWELI usiopingika?
Tukijiuliza hilo na kupata jibu basi tutawaachia wanaohusika watupe majibu na si huyu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom