Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Matusi ya nini vijana? Subiri apost hivyo vitu. Akimaliza mtapima kama vina chembechembe ya ukweli au anapotosha tu.
Hakuna haja ya kutukanana kama mko kwenye kilabu cha pombe.

Kuna watu tunachangia kistaarabu na tunavumilia hata yale tusiyopenda kusikia. Sasa kuna watoto wanatoa matusi mpaka uvumilivu unatushinda. Wote tunajua Mange anakuja na story zake kama kawaida yake, sisi kwa kutumia akili zetu tutapima na kuona anachosema kina ukweli kiasi gani. Anatokea mtu na kuanza kumwaga matusi ya kumshambulia mtu. Katika mazingira hayo inabidi turudie fani zetu siku moja moja japo si jambo la kiungwana.
 
akili za wanywa viroba hizi... kama uko na familia hiyo familia ihesabu haina kichwa cha familia zaidi ya shoga... maana akili na maandishi yako yanajieleza wazi..... na inaonekana umetoka kupumuliwa kisogoni..... mshenzi wewe

Si huwa unashikishwa ukuta au mbuzi kagoma kwenda, lakini kwangu ulivyo handsome nakupiga kifo cha mende. Na hapo ni bila mate kabisa.
 
Jaman jaman jaman muogopeni Mungu, hizo ada mlizo somea hamjui zimetoka wapi pengene inawezekana zimetoka kwa njia hyo hyo ya Mange, muuza nini cjui!
 
Mm mwanaume rijali ww ndo hunamalinda. ndo maana post yakwanza umeanza kuomgelea umalaya .kama ww hugongwi uliujuaje umalaya wamange kama hamshei bwana .
ndio nikuulize we malaya mwenzake ..... kitu gani kinachokufanya uumie pale ukweli wa mangi unaposemwa
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Ukitaka tukuamini na wewe basi leta habari yenye facts za kuaminika na siyo blaa blah...
Mange anaaminika kwa sababu habari zake zinakuwa za ukweli kwa karibu 100%
 
Kama anazungumziwa Mange basi sioni ajabu uzi kuwa na matusi.
 
Hiyo post nimeongelea Chadema kama taasisi
 

Ndio jambo la msingi kupima atakacho sema na sio kuanza kutukana kama walevi.
 
kutoka kutegemea watu kama slaa,mnyika,Baregu hadi mange?
 
seems like wanaccm wakimsikia mange ana bomu wanakosa amani ndo ashatoa nendeni mkamsome bosi wenu
 
Wa lumumba wanamgwaya sana Mange. Wewe usiye mwamini, hulazimishwi umwamini. Tunalisubiria bombershell.
 
Nimekumbushia tu... ule wembe wakati unanyoa ndevu haukuwa butu... sasa umehamia sehemu muhimu ndio tunasikia makelele lakini wembe ni uleule sikuwa na maana nyingine zaidi ya kubalance
Kwa kukusaidia tu tafuta nyuzi za Bavicha kumponda Mange wakati yupo ccm, halafu tafuta nyuzi za Mange kumponda Lowasa wakati yupo ccm na alivyohamia Chadema.....

Huyo Dada usimwamini kiasi hicho....kwa siku za karibuni wameshirikiana kwa karibu sana na Chadema....ila Chadema wajiandae maana ni kama Mange ameshika mpini wao wameshika makali.

Siku akitofautiana na Chadema sijui itakuaje.....muda utaongea.
 
Mbona wanamuamin sana iv! Wamuweke msemaji wa chama chadema bwana...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…