Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Matusi ya nini vijana? Subiri apost hivyo vitu. Akimaliza mtapima kama vina chembechembe ya ukweli au anapotosha tu.
Hakuna haja ya kutukanana kama mko kwenye kilabu cha pombe.
Kuna watu tunachangia kistaarabu na tunavumilia hata yale tusiyopenda kusikia. Sasa kuna watoto wanatoa matusi mpaka uvumilivu unatushinda. Wote tunajua Mange anakuja na story zake kama kawaida yake, sisi kwa kutumia akili zetu tutapima na kuona anachosema kina ukweli kiasi gani. Anatokea mtu na kuanza kumwaga matusi ya kumshambulia mtu. Katika mazingira hayo inabidi turudie fani zetu siku moja moja japo si jambo la kiungwana.