Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
kwa chadema ilivyo sasa, Mange anafaa kuwa mwenyekiti wa chama
 
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Wazungu hawajakosea kuhusu uwezo wetu wa kufikiria! Akili ndogo! Dont think that yeye ndio chanzo! Hata awe malaya lakini anapewa data za ukweli kwa watu wapenda kweli!! Think twice dont neget everything! Even crazy people can save you from death!
 
Ulikuwa wap mbona kama umekurupuka,nahisi ulikuwa umeukalia ...
 
kwa chadema ilivyo sasa, Mange anafaa kuwa mwenyekiti wa chama

Take it easy. Mange sasa hivi ni kama maji. Utamsikiliza tu. Kuchangia posti inayomhusu ni uthibitisho tosha kwamba ana-influence katika jamii. She is somebody, unlike you.
 
Kumbe hapingwi! Unasema ukimpinga tu anakublock? Huyu ndiye tunamshangilia kwamba ni mwanademokrasia kumbe hataki kupingwa
Anajua wanaompinga hawapo timamu,kama unapinga ukwel ya nini? ahangaike nawe
 
Bado ajanza kuweka huo ushaidi?

Anamalizia Kwanza kuficha majina ya wale waliompa hizo taarifa ' nyeti ' na ' muhimu ' hivyo vuta subira Mkuu au lala kwanza na utakapoamka labda kwenda kukojoa baadae usiku unaweza wakati unarudi ukapitia kuona kwani anaweza akawa ameshatiririka na kuserereka kama alivyoahidi.
 
Endelea kuamini hilo
 
Kama anayoyaandika ni upuuzi mtupu iweje hii Serikali dhalimu imuwekee WANTED!? Si wangempuuza tu na upuuzi wake!
Hili ndio swali la msingi kwanini wanahaha?
 
Reactions: BAK
Mange mwaga nyuki hao mwaga nyukiiiiiiiiiiiiiiiii.......
*****
 
mange tumwagie data tutawavizia hata kwa chupa tu tuwatungue na SMG zao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…