Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu hawajakosea kuhusu uwezo wetu wa kufikiria! Akili ndogo! Dont think that yeye ndio chanzo! Hata awe malaya lakini anapewa data za ukweli kwa watu wapenda kweli!! Think twice dont neget everything! Even crazy people can save you from death!Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Leta bas ushahidi wako,maana unakomaa kuupinga ushahidi wa MangeWewe ndio yule anaeuziwa chupa akidhani almasi .....hivyo hata nikikuelimisha utahisi nakuonea wivu.
Ulikuwa wap mbona kama umekurupuka,nahisi ulikuwa umeukalia ...wewe ndio mpuuzi tena mshenzi kabisa.... huwezi nipangia ni kitu gani nikomenti? Tena hasahasa kwa huyo mpuuzi mwenzako Mange.....
Ni mshenzi asifaaa kuvumilika.... janamke gani lisilo na stahaa kutwa nzima kuzusha vitu visivyo na maana.... bila shaka na wewe utakuwa unatabia za kizaramo..... badilika aisee wanaume halisi hatuna tabia hizo
kwa chadema ilivyo sasa, Mange anafaa kuwa mwenyekiti wa chama
Akifunguka tuambiane mkuukwa chadema ilivyo sasa, Mange anafaa kuwa mwenyekiti wa chama
Naona unatafuta huruma ya wananchikweli nimeamini raha ya ukawa ni kuona serikali iki fail.... shenzi kabisa
Kwani Mange sio MTU ?kutoka kutegemea watu kama slaa,mnyika,Baregu hadi mange?
Anajua wanaompinga hawapo timamu,kama unapinga ukwel ya nini? ahangaike naweKumbe hapingwi! Unasema ukimpinga tu anakublock? Huyu ndiye tunamshangilia kwamba ni mwanademokrasia kumbe hataki kupingwa
Kwani tatizo liko wapi, wivu tu huo mbona wewe unafanya biashara ya ngono bongo, nani kamzidi mwenzake?Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Kama Bashite alivyowashika wasiojielewaHuyu mange amejua kuwashika akili vijana wakitanzania.
Bado ajanza kuweka huo ushaidi?
Endelea kuamini hiloKwa kukusaidia tu tafuta nyuzi za Bavicha kumponda Mange wakati yupo ccm, halafu tafuta nyuzi za Mange kumponda Lowasa wakati yupo ccm na alivyohamia Chadema.....
Huyo Dada usimwamini kiasi hicho....kwa siku za karibuni wameshirikiana kwa karibu sana na Chadema....ila Chadema wajiandae maana ni kama Mange ameshika mpini wao wameshika makali.
Siku akitofautiana na Chadema sijui itakuaje.....muda utaongea.
Kutoka kutegemea Watu kama Kessy,Msukuma,Bashite hadi Pole pole?kutoka kutegemea watu kama slaa,mnyika,Baregu hadi mange?
Watu wanaogopa kuumbuliwa mkuuNdio jambo la msingi kupima atakacho sema na sio kuanza kutukana kama walevi.
Hili ndio swali la msingi kwanini wanahaha?Kama anayoyaandika ni upuuzi mtupu iweje hii Serikali dhalimu imuwekee WANTED!? Si wangempuuza tu na upuuzi wake!
Watu wasiojukikana utawajua tu kwa kauli na matendo yao.Pumbaav!! Hivi wewe ni mwanamke au gay? Unaboa wewe na usenge wako wa huyo kahaba kila mara. Nyambaaf!?!