Mange anatoa fact na ukitaka kujua angalia no. ya watu wanaomsoma.Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Huyu Mange anatuharibia chama chetu na kufanya tuonekane makamanda wa udaku na umbea.Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.
Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
hata wewe unafaa njoo tutakuchaguakwa chadema ilivyo sasa, Mange anafaa kuwa mwenyekiti wa chama
Umemjibu vyema sanaAnamalizia Kwanza kuficha majina ya wale waliompa hizo taarifa ' nyeti ' na ' muhimu ' hivyo vuta subira Mkuu au lala kwanza na utakapoamka labda kwenda kukojoa baadae usiku unaweza wakati unarudi ukapitia kuona kwani anaweza akawa ameshatiririka na kuserereka kama alivyoahidi.
lete wewe ushahidi tutakuaminiHuyu Mange anatuharibia chama chetu na kufanya tuonekane makamanda wa udaku na umbea.
ccm ndio wanaharibu nchi hii.chuki zinaletwa na ccmWatu tunafika HATUA ya kutukanana au kuna watoto humu kwa nini tusibishane kwa hoja moods kulinda heshima ya jukwaa piga bani wote wanaotukana kama unaona mange anatoa uongo humu wote ni watu wazima utachambua MWENYEWE kujua ni uongo am a ukweli sasa matusi ya nini tuweni wastarabu
Tanzania ni yetu sote tuijenge nchi yetu
Malunbano yanatujengea chuki zisizo na msingi
Tido
Gangster is to stay low key not even anyone needs to know anything about you at all.... Umempa cheo kikubwa mnoo mkuu nitake radhi bac hata KidogoKwa hyo ulitaka chanzo chao kiwe kutoka kwa Bashite (Blooded gangster
Huyo demu anacheza na akili za wabongo coz wengi kawaona ni viazi wa kupokea tu hatakama ni mashuduu ...aje hatudanganye na kutokana wabongo wengi wavivu kufikiri watashiba ujinga huo uliotengenezwa,,,na kama yoyote alikua anajua kiundani sual la lisu naamin hata siku tano zisingepitaa hiyo ingewekwa open,,,mange na manyumbu wamekaa mwenzi mzima wameenda kutengeneza vioja vyao watuzuge mange anasosi wa kueleweka ,,,,nawaona manyumbuuu
Lumumba fc inashiriki daraja la ngapiLumumba fc wakisikia watavamia huu uzi na matusi kwa mange sijui huwa anawasikia?
Bado huyo Mange hajafunguka mpaka sasa?lete wewe ushahidi tutakuamini
Wewe ndiwe umetekwa unapanic subiri sindano za moto. Interejensia ya cdm (kila mtu anafaida). Huyu mama anatupatia taarifa za ukweli.Nashangaa mjomba Wangu katekwa akili na mange akishasema mange ndo bas kamfundisha unyumbu siku hizi anawafatilia hata akina wema
Utakoma, huyo dada msema kweli mpenzi wa Mungu, uhaa hilo huko tulishatoka ukiambiwa ukweli unauaMange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.