Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Mange anatoa fact na ukitaka kujua angalia no. ya watu wanaomsoma.
Pimbi wako wenyewe wanasoma post page yake kila siku.
Kama hawasomi waambie wanyamaze hivyohivyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.

Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.

Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.

Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."

Mods hii ni taarifa tu hivyo sitarajii mtafuta huu uzi.
Huyu Mange anatuharibia chama chetu na kufanya tuonekane makamanda wa udaku na umbea.
 
Watu tunafika HATUA ya kutukanana au kuna watoto humu kwa nini tusibishane kwa hoja moods kulinda heshima ya jukwaa piga bani wote wanaotukana kama unaona mange anatoa uongo humu wote ni watu wazima utachambua MWENYEWE kujua ni uongo am a ukweli sasa matusi ya nini tuweni wastarabu
Tanzania ni yetu sote tuijenge nchi yetu
Malunbano yanatujengea chuki zisizo na msingi
Tido
 
Uzuri wa huyu wa marekani anao watu wake pale Tiss hivyo ubuyu xclusive kwake ni wa uhakika. Afu kitu kingine ukitaka kujua Inteligencia ya vijana wa usalama hata vijana wa kamanda Ziro yaani ni wakijinga. Hawana siri yanatumwa kufanya ujinga afu mwisho wa siku unayakuta humu humu yanapost baadhi ya matukio kwenye mitandao ya kijamii. Sijui yanafundishwa wapi! Waaaaaiìi!
 
Huyo demu anacheza na akili za wabongo coz wengi kawaona ni viazi wa kupokea tu hata kama ni mashuduu ...aje hatudanganye na kutokana wabongo wengi wavivu kufikiri watashiba ujinga huo uliotengenezwa,,,na kama yoyote alikua anajua kiundani sual la lisu naamin hata siku tano zisingepitaa hiyo ingewekwa open,,,mange na manyumbu wamekaa mwenzi mzima wameenda kutengeneza vioja vyao watuzuge mange anasosi wa kueleweka ,,,,
 
Anamalizia Kwanza kuficha majina ya wale waliompa hizo taarifa ' nyeti ' na ' muhimu ' hivyo vuta subira Mkuu au lala kwanza na utakapoamka labda kwenda kukojoa baadae usiku unaweza wakati unarudi ukapitia kuona kwani anaweza akawa ameshatiririka na kuserereka kama alivyoahidi.
Umemjibu vyema sana
 
Mnapaswa kushambulia hoja na atakacholeta kwahiyo ni muhimu kuwa na uvumilivu. Damu siyo mkojo watu watakimbia!
 
Watu tunafika HATUA ya kutukanana au kuna watoto humu kwa nini tusibishane kwa hoja moods kulinda heshima ya jukwaa piga bani wote wanaotukana kama unaona mange anatoa uongo humu wote ni watu wazima utachambua MWENYEWE kujua ni uongo am a ukweli sasa matusi ya nini tuweni wastarabu
Tanzania ni yetu sote tuijenge nchi yetu
Malunbano yanatujengea chuki zisizo na msingi
Tido
ccm ndio wanaharibu nchi hii.chuki zinaletwa na ccm
 
Kwa hyo ulitaka chanzo chao kiwe kutoka kwa Bashite (Blooded gangster
Gangster is to stay low key not even anyone needs to know anything about you at all.... Umempa cheo kikubwa mnoo mkuu nitake radhi bac hata Kidogo
 
ccm na serikali yenu hamtaki kuleta ushahidi.sasa sisi tukisikia hata kuku ana ushaidi dhidi ya mumiani,aliyeivamia nchi,na kuuwa watu hovyo,tutasubiri kwa hamu,nakusikiliza ushahidi wake.manake nyie ndo wauwaji wenyewe,mtaletaje ushahidi dhidi yenu wenyewe ? Mwacheni aseme alicho nacho tusikie,maigizo ya ccm ya wasiojulikana, mtatueleza kisichojulikana ! Huko ccm asiye Malaya nani ? magufuli mwenyewe kasema makosa yaliyojitokeza kwa watangulizi wake,waliendekeza uchumba !!! sasa Mange alishawahi kuwa na wadhifa wowote nchini,chini ya ccm ?akaendekeza uchumba,hadi nchi ikafika hapa ilipo,mpaka mumuite Malaya ? kama wewe sio Malaya mwenzie,anapojiuza mpaka umuone,basi ww, ulikua kwenye foleni,ukisubiri nawe ununuliwe ! Umeyajuaje Haya ?.mtaweweseka nyie mpaka mlie poooh. Watanzania wa leo sio wale wa kudanganyika tena !,niwachunguzi,wajuzi,waelewa,na kilakitu kitakua peupe tu,ni suala la muda tu !
 
Huyo demu anacheza na akili za wabongo coz wengi kawaona ni viazi wa kupokea tu hatakama ni mashuduu ...aje hatudanganye na kutokana wabongo wengi wavivu kufikiri watashiba ujinga huo uliotengenezwa,,,na kama yoyote alikua anajua kiundani sual la lisu naamin hata siku tano zisingepitaa hiyo ingewekwa open,,,mange na manyumbu wamekaa mwenzi mzima wameenda kutengeneza vioja vyao watuzuge mange anasosi wa kueleweka ,,,,nawaona manyumbuuu


Kumvua mtu ubinadamu wake na kumvika unyama(nyumbu)ni dalili ya mwisho kabisa ya kukosa hoja,kama unafikiri Mange ni mzushi ni kwa nini serikali yako haitaki kuleta wachunguzi huru badala yake imejikita katika propaganda za kipumbavu kuwa haiwajuwi waliomshambulia Lissu?

Nafikiri kama ni unyumbu, basi serikali yako ndiyo nyumbu halisi,serikali inayojitambua kamwe haiwezi kujifedhehesha kwa kusema anayemjua aliyemtishia Nape bastora amtaje,tukio lililofanyika mbele ya kamera za waandishi wa habari huku likishuhudiwa na maaskari chini ya usimamizi wa mkuu wa polisi wa mkoa wa kipolisi Kinondoni mtu unaanzaje kuwaambia wananchi wamtaje muhusika kama si uzwazwa?

Haya sasa muhusika ni huyu wanaongozana naye kila siku.

Tetesi: - Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro
 
Nashangaa mjomba Wangu katekwa akili na mange akishasema mange ndo bas kamfundisha unyumbu siku hizi anawafatilia hata akina wema
Wewe ndiwe umetekwa unapanic subiri sindano za moto. Interejensia ya cdm (kila mtu anafaida). Huyu mama anatupatia taarifa za ukweli.
 
Mange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.
Utakoma, huyo dada msema kweli mpenzi wa Mungu, uhaa hilo huko tulishatoka ukiambiwa ukweli unaua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom