Hofu ya nini subiri.Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na muuza nyapu wa marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu ya nini subiri.Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na muuza nyapu wa marekani.
Silali namsubiri Mange
Ni aibu wewe kuweka akili kabatini na kubaki na neno moja tu.Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na muuza nyapu wa marekani.
Ujinga ni kuamini na kushangilia kitu LA kufokafoka na kulalama lalama!Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Wakati Mange anawafanyia kampeni CCM aliaminika, akasifiwa kila namna kwa uzalendo na kuipenda nchi na haukuwa wala haukupata kuitwa ujinga leo yuko upande wa pili mayowe... 😀😀😀Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Hivi mange ni msemaji wa watanzania
Sijawahi na siji kuwa ccm.....mimi najadili kilichopo mezani.Wakati Mange anawafanyia kampeni CCM aliaminika, akasifiwa kila namna kwa uzalendo na kuipenda nchi na haukuwa wala haukupata kuitwa ujinga leo yuko upande wa pili mayowe... 😀😀😀
kweli nimeamini raha ya ukawa ni kuona serikali iki fail....Usiogope, ngojea kadawa kaje sindano uchomwe akili irudi!
Huu uzi umejaa matusi sana, hadi aibu.
Na bahati nzuri hata wachangiaji nao ukiondoa Mimi tu labda na Wewe Mkuu ni ' Wabobezi ' wazuri mno wa Matusi. Ngoja Sisi wengine tusiojua ' Kutukana ' tujifunze ' matusi ' mapya kwa Walimu wa ' matusi ' hapa.
Nimekumbushia tu... ule wembe wakati unanyoa ndevu haukuwa butu... sasa umehamia sehemu muhimu ndio tunasikia makelele lakini wembe ni uleule sikuwa na maana nyingine zaidi ya kubalanceSijawahi na siji kuwa ccm.....mimi najadili kilichopo mezani.
Huyo mange hana familia ..????nyie ndo huwa mnajiona bora kuliko wengine .mange anafamlia bora kuliko hata yakwako kapuku ww.ustaarabu gani alioutumia hapo kuiingiza familia yangu kwenye mada husika....? angekuja kiistaarabu ningemjibu kiistaarabu pia?
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Upo sahihi kabisa MKUU! Ila usisahau...Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.