bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Hapa kila kitu kitachenjuliwa ndiyo zama hizi siyo za kufanya upumbavuu..!Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Ungejua wamarekani wanachenjua kila mawasiliano hasa ya viongozi wetu..!