Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Basi akili ni kuhamini upuuzi wako wewe hapo
 
Bora mange anaongea yale ambayo mtaki kusikia kuliko kuwa na taifa la wasomi waoga kuongea japo wanajua nchi inayumba hila wanogopa kusema lissu alikua anafanya bila uoga mwisho wa siku wemataka kumuua alafu unasikia mjinga anakwambia lissu sio mzalendo
kabisa mkuu.huyu binti si muoga kabisa lissu alijaribu wakataka kumuua sasa nani atatusemea watanzania. masisiemu yote yamebaki kama makondoo mbele ya chui magufuli kawatia mfukoni wote
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Wahusika utawajua tu kwa mapovu yao,kama haujahusika was was nini?,subir ushahidi wote uwekwe hadharan il nawe uonekane,sababu hatuend kwa maneno bali na ushahid pia
 
kumbe habari inatoka kwa dikteta Mange Kimavi maana kule ukibishana nae tu unakula ban sasa anatofauti gani na Kagame
 
Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Kama Mtu anasema jambo na ushahidi lazima aaminike,na hili ni kwa wale tu wanaojitambua mkuu
 
Wakuuu naomba mnisaidie ili nione MOAB itakavyotua Pale Makazi ya ndege Tausi. Instagram yangu kila nikitaka ku-Log in inaleta Ujumbe usemao An unknown network error has occurred. Mwenye kuweza nisaidia nifanyaje anisaidie please. Inbox/PM me please
 
Mamako mwenyewe ndo niko naye hapa ila kaniharishia, imebidi aende akajisafishe kwanza!!

Duh! Leo tusiojua ' matusi ' tunapata Elimu ya bure kabisa ya matusi humu. Naamini mpaka ifikapo Saa 7 kamili ambapo nita log out kwa leo humu basi nitakuwa nimeelimika sana kwa matusi mapya na yale ya zamani ila yaliyoboreshwa tu kulingana na mazingira ya sasa na uhitaji uliopo.
 
Nilijua lazima wataumbuka tu,Watu tupo wengi kwenye mishen lakin wengine wanafanya tu sababu ya njaa,sasa wanaposikia wanaopenda haki wanalalamika,mioyo yao inawasuta,hivyo kujikuta wanatoboa siri,ndilo tutaloliona kipind hik
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom