Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwanini tufanye hivyo? kwani yeye anaonagopa nini kupingwa pale pale kwenye instar yake?Anzisheni na nyie akaunti yenu ya Instagram kumpinga si lazima mtumie ya kwake. Obama alipokuwa anashutumiwa na wapinzani wake alianzisha ya kwake akaiita "anti-Smear Campaign". wote mnaompinga Mange anzisheni akaunti yenu na nyie mtapata wafuasi.