Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nimekuwa nasema kila siku hapa kwamba mali nyingi zinazopita ufukweni pale hazilipi kifuta jasho kama inavyopaswa,

Magari hayo ya Bwana Edigaran Masako wa ofisi ya makusanyo kifuta Jasho (OMKJ) samora , anajulikana hivyo kwasababu kashastaafu kitambo lakini, kuna na mashine nyingi zimepita maeneo yale kwa kukikwepa kifuta jasho,

Nimefanya kazi Ufukweni hapo kabla sijaipa kisogo Tanzania tokea mwaka 2003 hadi 2011 msisumbuke sana , yote hiyo mnaangaika kisa mmeimaliza meno jamii forums na kupandikiza mange vimambi wengi , Huwez amini kina mzee wa kudadavua, mchambuzi, BAK au bakili muluzi siku hizi ni kama wamebanwa hawana cha kusema kwa sababu ya uoga , Hayo ndo mambo ambayo Jf ilipaswa kuweka wazi, Muda huu mada ni nani anapaswa kutangulia kufika kati ya mama Samia au Makonda, mada ni flash ya gwajima anayo makonda , hatuwezi kufika kwa fikra za namna hii

Usiku mwema unajua Vodka ya Urusi imefanya nitoboe siri hii weekend hii inaleta mzuka

Britanicca
 
Hakunaga kitu cha 'mtu asiyejulikana" yale magari hadi yanafika bandarini lazima yalikuwa yameandikwa mmiliki ni nani..basi tu ameamua kuficha.
 
Nimekuwa nasema kila siku hapa kwamba mali nyingi zinazopita ufukweni pale hazilipi kifuta jasho kama inavyopaswa,

Magari hayo ya Bwana Edigaran Masako wa ofisi ya makusanyo kifuta Jasho (OMKJ) samora , anajulikana hivyo kwasababu kashastaafu kitambo lakini, kuna na mashine nyingi zimepita maeneo yale kwa kukikwepa kifuta jasho,

Nimefanya kazi Ufukweni hapo kabla sijaipa kisogo Tanzania tokea mwaka 2003 hadi 2011 msisumbuke sana , yote hiyo mnaangaika kisa mmeimaliza meno jamii forums na kupandikiza mange vimambi wengi , Huwez amini kina mzee wa kudadavua, mchambuzi, BAK au bakili muluzi siku hizi ni kama wamebanwa hawana cha kusema kwa sababu ya uoga , Hayo ndo mambo ambayo Jf ilipaswa kuweka wazi, Muda huu mada ni nani anapaswa kutangulia kufika kati ya mama Samia au Makonda, mada ni flash ya gwajima anayo makonda , hatuwezi kufika kwa fikra za namna hii

Usiku mwema unajua Vodka ya Urusi imefanya nitoboe siri hii weekend hii inaleta mzuka

Britanicca

NB MODS HAWATACHELEWA KUONDOA UZI HUU, AU KUUNGANISHA BILA KUJUA KWAMBA HUU HAUFANANI NA UZI WOWOTE BADALA YA KUUACHA ULETE CLEAR PICTURE UOGA NI JAMBO BAYA SANA
.....
.... Na kifuta jasho cha ubalozi vipi Mkuu
 
Usiilaumu JF mkuu. Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake. Ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili. Watu wakifanya ubabe hata JF inaweza kufutika.

Wanachofanya sasa JF ni busara. Kuzikabili sheria kandamizi mahakamani.

JF ikitaka kurudisha hadhi yake ya awali basi ifanye shughuli zake nje ya TZ. Au kuwe na sister media, mirror ya JF, lakini isiokuwa chini ya himaya ya Sheria za Mitandao. Unaweza kuiita mbinu ya "finding legal loophole to circumvent".
 
Back
Top Bottom