Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

uko kuna warembo tu na IQ yao ndogo sana wao rais wao wa insta nadhani unamjua

Ha ha haaaaa
Wewe weka wachache wahe kusoma nondoz zako hao usiwafikirie asilimia kubwa ni wanafunzi tu wanaburudika na kudakia kila jambo na kushabikia..
 
Muache mzee wa watu apumzike na sasa anafanya kilimo
Mzee Masako lol
 
Kabisa mkuu wote tukiwa ma professor nani atahudumu bar?
lakini bar zinahitaji wasomi pia hata kama si kiwango cha kina lipumba, ila hata hao wa bar si ndo wakiwapeleka maprofesor chobisi wanawapa mambo mpaka wanasahau vyuo na kozi walizosoma , wana uphd wa maisha halisi
 
Nimekuwa nasema kila siku hapa kwamba mali nyingi zinazopita ufukweni pale hazilipi kifuta jasho kama inavyopaswa,

Magari hayo ya Bwana Edigaran Masako wa ofisi ya makusanyo kifuta Jasho (OMKJ) samora , anajulikana hivyo kwasababu kashastaafu kitambo lakini, kuna na mashine nyingi zimepita maeneo yale kwa kukikwepa kifuta jasho,

Nimefanya kazi Ufukweni hapo kabla sijaipa kisogo Tanzania tokea mwaka 2003 hadi 2011 msisumbuke sana , yote hiyo mnaangaika kisa mmeimaliza meno jamii forums na kupandikiza mange vimambi wengi , Huwez amini kina mzee wa kudadavua, mchambuzi, BAK au bakili muluzi siku hizi ni kama wamebanwa hawana cha kusema kwa sababu ya uoga , Hayo ndo mambo ambayo Jf ilipaswa kuweka wazi, Muda huu mada ni nani anapaswa kutangulia kufika kati ya mama Samia au Makonda, mada ni flash ya gwajima anayo makonda , hatuwezi kufika kwa fikra za namna hii

Usiku mwema unajua Vodka ya Urusi imefanya nitoboe siri hii weekend hii inaleta mzuka

Britanicca

NB MODS HAWATACHELEWA KUONDOA UZI HUU, AU KUUNGANISHA BILA KUJUA KWAMBA HUU HAUFANANI NA UZI WOWOTE BADALA YA KUUACHA ULETE CLEAR PICTURE UOGA NI JAMBO BAYA SANA
Mkuu naungana nawe. Uzi wowote ukiudadavua ili watu wausome na wafuatilie ukweli jamaa hawachelewi kuuunganisha ama kuufuta. Hapa jf tushavamiwa jukwaa linapotea njia taratibu.
 
Back
Top Bottom