Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

Mkuu naungana nawe. Uzi wowote ukiudadavua ili watu wausome na wafuatilie ukweli jamaa hawachelewi kuuunganisha ama kuufuta. Hapa jf tushavamiwa jukwaa linapotea njia taratibu.
Mbona mnaanza kujihami...??kama mnataka kutupoteza kwenye matukio ya chaguzi ndogo za madiwani zilizokuwa zikiendelea nchini Jana 26/11/2017
 
Mbona mnaanza kujihami...??kama mnataka kutupoteza kwenye matukio ya chaguzi ndogo za madiwani zilizokuwa zikiendelea nchini Jana 26/11/2017
Upotezwe kiaje kwani humu inajadiliwa mada moja. Mtu mmoja kachangia kwenye siasa, mapenzi, hoja mchanganyiko na kwingineko.
Kwa hiyo kwa akili yako finyu unataka kwa kuwa kulikuwa na uchaguzi jana basi mengine yasipostiwe.
Nini maana ya jamiiforum yawezekana hujui that's why you ask these.
 
Nimekuwa nasema kila siku hapa kwamba mali nyingi zinazopita ufukweni pale hazilipi kifuta jasho kama inavyopaswa,

Magari hayo ya Bwana Edigaran Masako wa ofisi ya makusanyo kifuta Jasho (OMKJ) samora , anajulikana hivyo kwasababu kashastaafu kitambo lakini, kuna na mashine nyingi zimepita maeneo yale kwa kukikwepa kifuta jasho,

Nimefanya kazi Ufukweni hapo kabla sijaipa kisogo Tanzania tokea mwaka 2003 hadi 2011 msisumbuke sana , yote hiyo mnaangaika kisa mmeimaliza meno jamii forums na kupandikiza mange vimambi wengi , Huwez amini kina mzee wa kudadavua, mchambuzi, BAK au bakili muluzi siku hizi ni kama wamebanwa hawana cha kusema kwa sababu ya uoga , Hayo ndo mambo ambayo Jf ilipaswa kuweka wazi, Muda huu mada ni nani anapaswa kutangulia kufika kati ya mama Samia au Makonda, mada ni flash ya gwajima anayo makonda , hatuwezi kufika kwa fikra za namna hii

Usiku mwema unajua Vodka ya Urusi imefanya nitoboe siri hii weekend hii inaleta mzuka

Britanicca

NB MODS HAWATACHELEWA KUONDOA UZI HUU, AU KUUNGANISHA BILA KUJUA KWAMBA HUU HAUFANANI NA UZI WOWOTE BADALA YA KUUACHA ULETE CLEAR PICTURE UOGA NI JAMBO BAYA SANA
OK aksante kwa taarifa, tuambie na vile vichwa vya Terni vilikuwa vya nani? au taarifa zako zinabagua zisiwaumize unowapenda
 
Hakunaga kitu cha 'mtu asiyejulikana" yale magari hadi yanafika bandarini lazima yalikuwa yameandikwa mmiliki ni nani..basi tu ameamua kuficha.
Nawewe umeamini mwenyewe hajulikani?
 
Ndiyo maana hawaitaki rasimu ya Warioba.
Na kamwe haitatokea waitake mpaka wananchi watakapoidai kwa nguvu.
Ukiona hawataki mgombea binafsi, huku vyama pinzani wanavipiga vita huhitaji kuwa na phd. Kujua wanaficha nini migongoni kwao.
 
Duuh haya bana JPM kazi unayo umejipa majukumu mazito mnoo hayo majukumu yainataji muda sio zima moto ukilala ukiamka Tanzania yote ni safi hapana utajipa frustration Fanya kidogo mwachie anaye kuja na yeye arakebishe sehemu yake kwa kumuwekea mazingira mazuri ikiwemo katiba mpya ya kuwabana mafisadi hata kama wamestaafu....
 
Back
Top Bottom