Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

🔥🔥🔥
zoe-roth-12.jpg
 
Wakuu Kwema!

Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.

Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?

Karibuni tujadili.
Mwendo katiba mpya haatudanganyiki,chukua hatua.
 
hata ukimfuatilia yule mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza speech yake kama hili andaliwa kwa sababu maharumu.

Sema kwa kuwa nyumbu nazo zinapenda siasa za matukio zinaenda kubadili upepo sio muda.
 
Wakuu Kwema!

Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.

Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?

Karibuni tujadili.
Kwa sababu mmezoea kudakia treni kwa mbele.

Ndiyo!
 
Aisee !!!!

Kuna mambo logically hayana logic kabisa....., Sasa hapa tunajadili nini ?, Ingekuwa bora kama ungetoa kwanza vigezo vyako vilivyokupelekea ulete hizo assumptions...
 
Wakuu Kwema!

Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.

Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?

Karibuni tujadili.
Moto wa katiba Mpya hauzimiki kwa kuchoma miundombinu moto.
 
Kweli mambo ya mitandaoni tuyaache huku huku, hivi kuna mfanyabiashara wa soko la kariakoo humu tusikilize maoni yake?
 
Back
Top Bottom