Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

Wakuu Kwema!

Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.

Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?

Karibuni tujadili.
Moto wa makaa hauwezu kulingana na moto wa Katiba. Harakati zimeanza toka 1995
 
Inawezekana hata ile hukumu ya Jacob Zuma ilikuwa ni kiki ya kuzima haya maupepo ya katiba mpya yanayovuma kutoka ufipa
 
Inawezekana hata Mbowe kutuambia ndugu yake alikuwa na corona ni kutuzuga tu.
 
Wakuu Kwema!

Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.

Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?

Karibuni tujadili.
''Matukio hayo ni ya kupangwa na serikali kuzima sakata la katiba mpya movement,wameanza na moto kisha yatakuja matukio mengine yatakayoipa nguvu serikali kuzuia mikutano ya katiba mpya kwa kigezo cha kulinda usalama na amani'' alisikika akisema bwana mmoja.
My take: historia inaonyesha popote duniani kuwa muda wa kudai haki ukifika hauzuiliki,kupingana na jambo la maumbile ya kihistoria ni kama kujaribu kuzuia jua kuchomoza.

Serikali inapaswa kutumia fursa hii isiyokwepeka kufanya mazungumzo na wadau ili kuridhiana namna nzuri ya kufanya maana wadau sio upinzani tu ni wananchi wote na ata CCM wenyewe baadhi wanahitaji katiba mpya.
 
Wakuu Kwema!

Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana.

Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya?

Karibuni tujadili.
''Matukio hayo ni ya kupangwa na serikali kuzima sakata la katiba mpya movement,wameanza na moto kisha yatakuja matukio mengine yatakayoipa nguvu serikali kuzuia mikutano ya katiba mpya kwa kigezo cha kulinda usalama na amani'' alisikika akisema bwana mmoja.
My take: historia inaonyesha popote duniani kuwa muda wa kudai haki ukifika hauzuiliki,kupingana na jambo la maumbile ya kihistoria ni kama kujaribu kuzuia jua kuchomoza.

Serikali inapaswa kutumia fursa hii isiyokwepeka kufanya mazungumzo na wadau ili kuridhiana namna nzuri ya kufanya,maana wadau sio upinzani tu ni wananchi wote na ata CCM wenyewe baadhi wanahitaji katiba mpya.
 
Hiyo movement ya katiba mpya inafanyika wapi?
 
katika katiba mpya ni kitu gani kinatukera mpaka tuombe mpya? halafu katiba nzuri haiitaji maoni ya wananchi nzima bali wataalam wa sheria na viongozi wachache wa dini. katiba ya marekani, India na israel hazikusaka maoni ya wananchi bali busara ya wansheria tuu.
 
Back
Top Bottom