Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mbona hatuoni huku mitaani?
Huwa mnaona nini huku mtaani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hatuoni huku mitaani?
Tunaona watu wakiwa busy na maisha yao!Huwa mnaona nini huku mtaani?
Tunaona watu wakiwa busy na maisha yao!
. Hizo movement za katiba ziko wapi?
Wanajeshi tunawaona na kambi zao tunajua zilipo, na tunajua wako tayari endapo nchi ikivamiwa na maadui!Hata wanajeshi wako kwenye mafunzo makali humu humu nchini, je umeona wakifahamika wanafanya nini? Ww kutokujua kinachoendelea haimaanishi hakuna kinachoendelea.
Katiba mpya or not,,,we don't have an intelligent political class on both sides of the aisle especially the ruling one,na it's reflective ya hata sisi wananchi tulivyo,hatuko serious.....Hivi kweli suala trending la kisiasa ni la kumkosesha Diamond Tuzo, au kukomoa watetea Legasi...na viongozi wetu walivo wajanja wanajua tunachotaka na wakatengeneza watu kila siku kuleta kauli za kufurahisha kwa mda mchache huku wakiendelea kutubebesha mizigo...hivi kweli nchi inayokujali inakupunguzia bei ya pombe na kukuongezea bei ya mafuta, inakupenda kweli.hayo mambo yanafanyika huku wabunge wetu wakijiongezea maposho tu na mishahara.🤣🤣🤣
Sio moto tu hata antony dialo pia