Katiba mpya or not,,,we don't have an intelligent political class on both sides of the aisle especially the ruling one,na it's reflective ya hata sisi wananchi tulivyo,hatuko serious.....Hivi kweli suala trending la kisiasa ni la kumkosesha Diamond Tuzo, au kukomoa watetea Legasi...na viongozi wetu walivo wajanja wanajua tunachotaka na wakatengeneza watu kila siku kuleta kauli za kufurahisha kwa mda mchache huku wakiendelea kutubebesha mizigo...hivi kweli nchi inayokujali inakupunguzia bei ya pombe na kukuongezea bei ya mafuta, inakupenda kweli.hayo mambo yanafanyika huku wabunge wetu wakijiongezea maposho tu na mishahara.π€£π€£π€£