kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Haha... Mwingine kaomba radhi wadau wa Soka kuwa mwanzoni alipotosha hakuona vizuri..!Jamaa vitakua vimehongwa vile. Mfano ni kile kijamaa cjui ronadinho
Kuna mpunga mrefu sana umetembea. Nani hapendi mkate?Haha... Mwingine kaomba radhi wadau wa Soka kuwa mwanzoni alipotosha hakuona vizuri..!
Lile ni goli halali kwa maana halisi ya neno hilo. Mpira wa miguu ni mchezo wa kugusana
... Hakuna mpira unaochezwa bila kugusana
Kinachozungumzwa hapo ni Kugusana Kikawaida na Kugusana Kusiko Kawaida....!Hivi kinachozungumzwa ni kugusana au kusukumwa? Labda tuangalie hapo kwanza
Kosa ambalo Sanya alitoa adhabu kwa Geita ni George kumsukuma Kapombe. sio kumgusa Kapombe. George amekuja kukiri kuwa alimsukuma 'kidogo', sio sana. Wanaotazama clip wanadai hakumsukuma wala hakumgusa kabisa. Sasa tumuamini nani, wanaoangalia clip, George au Sanya?Kinachozungumzwa hapo ni Kugusana Kikawaida na Kugusana Kusiko Kawaida....!
Kiswahili acha kabisa..!
wewe na kabwili kuna tofauti yoyote???Lile ni goli halali. Kinachofanyika kwa hao wachambuzi ni njaa zao tu waende wakachambue mboga
Hakusukumwa bwana acheni uongo.Hivi kinachozungumzwa ni kugusana au kusukumwa? Labda tuangalie hapo kwanza
Mchezaji husika Amekiri Kuwa alisukuma Lakini Kikawaida.Hakusukumwa bwana acheni uongo.
Watu wanambishia hadi muhusika hao ndy uto bwanaMchezaji husika Amekiri Kuwa alisukuma Lakini Kikawaida.