Sakata la Martin Saanya na Nguvu za Wachambuzi Wa Soka Bongo

Kiongozi mbona unaweka unazi mbele Kama mpira ni mchezo wa kugusana xaxa faulo na penati zimewekwa za Nini lazima sheria za mchezo zifutwe
 
Namna rahisi ya kuelezea lile goli hakuna zaidi ya kusema Simba kabebwa.
 
Aliyebadili upepo ni mchezaji wa Geita baada ya kukiri alimgusa Kapombe
Siku ya mechi haikuonekana kama aliguswa, nadhani mpiga picha hakulinyaka lile tukio
Kama mgusano ungekuwa mkubwa Kapombe angewezaje kuruka juu? Kwako fair challenge ina maana gani? Mpole aliposema alimgusa Kapombe alikuwa sahihi maana soka si taarabu. Kama kila kugusana ni faulo basi faulo zitakuwa 600 kwenye mechi moja.
 
Lile ni goli halali na Simba ili bebwa na ni kawaida kwa mpira wa Bongo. Leo Simba kesho Yanga. Hakuna mpira unaochezwa bila kugusana Ila Kapombe kajiongeza.
Acha wehu. Goli halali halafu ikawaje hawakuweka mpira kati?
 
Mchezaji husika Amekiri Kuwa alisukuma Lakini Kikawaida.
Huyo mchezaji ana akili kubwa kuliko wewe ndo maana mpaka sasa hujui alimaanisha nini. Unaguswa mgongoni halafu unafanya exaggeration kwa kujirusha juu kama umechomwa kisu?
 
Mimi ni mshabiki wa mpira, napenda mpira lakini nakiri sina utaalamu au elimu ya mpira kwangu lile ni goli halali kabisa.
 
Mimi ni mshabiki wa mpira, napenda mpira lakini nakiri sina utaalamu au elimu ya mpira kwangu lile ni goli halali kabisa.
Kama Wewe umekiri Sio Mtaalamu sasa ndo Wasikilize wataalamu kinyume chake wewe Mbishi.
 
Kama kweli tunapenda ligi yetu ipige hatua kwa manufaa ya hata vilabu vyenyewe inabidi tff ichukulie serious malalamiko ya wadau dhidi ya waamuzi.
 
Ikifika dakika ya 75 na kuendelea kwny mechi inayozihusisha yanga au simba dhidi ya timu (yeyote) kutoka mikoani kwny uwanja wa mkapa na wakati huo matokeo yanasoma 0-0..yafuatayo yatatokea;

(a) utitiri wa kadi za njano zisizoeleweka kwa timu kutoka mkoani..
hapa mazingira ya red card yanatafutwa.

(b) Red card! baada ya kadi ya mbili za njano dhidi ya timu pinzani kwa simba au yanga

(c) penalty! Yenye utata itasakwa na kutolewa hasa kwny dakika za late 80's.

(d) B& C kwa pamoja.

(e) goli lolote kutoka timu ndogo dakika za ukingoni haliwezi kukubaliwa..likikubaliwa na mwamuzi linesman atachomoa...na kama likikubaliwa basi ni la kufutia machozi..tena liwe too obvious..
lisitokane na kona wala krosi manake magoli aina hiyo hayakosagi visingizio.

(f) ukinusurika yote..basi extra time ni dakika sita+

Ni ngumu mno.

kule ulaya ni kawaida kusikia wikeend fulan PSG, man utd au chelsea zimevutwa shati na timu ya 18th kwny msimamo wa ligi tena zikicheza nyumbani.
Na huo ndio utamu ya ligi
 
Ukiondoa azam na ufm ambao walileta hadi aliyekuwa mwamuzi mwenye beji ya fifa wengi walichambua kuegemea mapenzi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…