Sakata la Mbowe - Matokeo ya busara ya kawaida kushindwa kutamalaki

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.

Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.

Chat.jpg

Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?

"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.

Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kuiweka Tanzania mbele kwa vitendo.

Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
 
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.

Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.

View attachment 1905908

Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?

"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.

Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.

Ongeza tawi la katiba mpya inataliwa na wananchi. Serikali ianfikia muafaka na wadau wa jinsi ya kuutekeleza.
 
Ubongo unaathirika na kufungwa 24/7 na hiyo kamba. Kichwa kinahitaji hewa kipumua, sasa wewe umekifunga muda wote lazima kuwe na diminished air supply, increasing heating and hence functioning......
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.

Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.

View attachment 1905908

Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?

"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.

Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.

Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
 
Ubongo unaathirika na kufungwa 24/7 na hiyo kamba. Kichwa kinahitaji hewa kipumua, sasa wewe umekifunga muda wote lazima kuwe na diminished air supply, increasing heating and hence functioning......

Nyerere alipokuwa msuluhishi wa Burundi alikuja kufahamu baadaye kuwa aliyekuwa madarakani kwa wakati huo kama rais, hakuwa na madaraka ya kufanya maamuzi yoyote.

Kumbe kulikuwa "coup" ya kisirisiri na waliokuwa na lao jambo walikuwa hawaonekani tu.

Pana maamuzi yanaonekana kuwa sura ngumu kama za wale wacheza mpira wa mama.
 
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.

Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.

View attachment 1905908

Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?

"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.

Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.

Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Kesi hii inaweza pia kutuweka kwenye world map na kuwafanya 'perpetrators' kupata sehemu mpya ya ku'groom' extremists.
 
Hii kesi mataifa mengine yanaifuatilia yakiamini kuwa kesi ya kisiasa zaidi.

Inazidi kuivua nguo serikali kwenye masuala nyeti ya haki za binadamu.
 
"Mandela Mpya" Mandela wa Zamani hakuwa mjinga kama huyu wa mleta mada.....hakuwa dikteta kwenye chama chake na kujifanya Mwenyekiti wa Milele!
 
Kufahamu maana ya neno "ujinga" ni muhimu sana kabla ya kujaribu kulitumia ndugu msukuma.

"Ujinga ni kutokufahamu jambo au kitu fulani. Hayupo awaye yote anayeweza kujua kila kitu. Ujinga na kiumbe hai ni 'symbiotic.' Kwa maana kuwa ujinga ni 'inherent' katika maisha."

Utakuwa nyani wa msukuma wewe kujidhania kuwa ujinga haukuhusu wewe tu kiasi cha kujaribu kumnyooshea awaye yote kidole.

Kweli nyani haoni kundule.

Hiiiiii bagosha!
 
"Utakuwa nyani wa msukuma wewe" nimekugongea like kwasababu ya maneno hayo hapo!
 
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.

Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.

View attachment 1905908

Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?

"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.

Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.

Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Ninakubaliana nawe. Safi sana. Kwa kila hitimisho la "option" (isipokuwa moja - hoja ya katiba mpya kufa kwa kukataliwa na wananchi) Mbowe anaibuka shujaa.
 
Kufahamu maana ya neno "ujinga" ni muhimu sana kabla ya kujaribu kulitumia ndugu msukuma.

"Ujinga ni kutokufahamu jambo au kitu fulani. Hayupo awaye yote anayeweza kujua kila kitu. Ujinga na kiumbe hai ni 'symbiotic.' Kwa maana kuwa ujinga ni 'inherent' katika maisha."

Utakuwa nyani wa msukuma wewe kujidhania kuwa ujinga haukuhusu wewe tu kiasi cha kujaribu kumnyooshea awaye yote kidole.

Kweli nyani haoni kundule.

Hiiiiii bagosha!
Achana naye. Unamaliza mafuta bure. Gari liko mlima Kitonga likielekea Moro. Tayari ameonyesha ujinga wa kutoelewa "logic tree". Mhurumie; kwake shule ni haba.
 
Ninakubaliana nawe. Safi sana. Kwa kila hitimisho la "option" (isipokuwa moja - hoja ya katiba mpya kufa kwa kukataliwa na wananchi) Mbowe anaibuka shujaa.

Bila shaka focus yako ipo kwenye option hii:

"Hoja ikikataliwa na wananchi -> Hoja ya Mbowe itakuwa imekufa."

Huo ndiyo ulio ukweli wenyewe.

Hata hivyo, ninakubaliana na wewe kuwa Mbowe ataibuka shujaa kwa sababu kiuhalisia wananchi kuikataa hoja yake ni invalid option.

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?
 
Tatizo kubwa ni kuwa wafia CCM walio wengi ni watu ambao ni low IQ, ni watu akili yao ni ndogo sana kiasi cha kushindwa kuiona kesho kabla ya kuifikia.

Kwa upande mwingine, Rais naye amewachukua washauri wake kwenye ile pool ya wasio na akili, badala ya kumwongezea weledi, wanajitahidi sana kumpeleka waliko wao, yaani kwenye ujinga na akili ndogo.

Vitengo vya intelligence badala ya kuongozwa na intellgent people, vimejaa watu ambao akili zao ni below average. Halafu hawajitambui kuwa wana akili ndogo.
 
Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?
Mbowe siyo mwananchi? Hao wengine siyo wananchi? Kwako wewe, wananchi ni nani?
 
Mahakama itaamua, ni busara ndogo tu inahitajika kutambua hilo! Hayo mashinikizo yenu kwa Serikali eti wamwachie Mbowe hayana mashiko! Kama hana kosa mahakama itamuachia huru!
 
Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?
Kumbe Mbowe na wenzake sio wananchi......
 
Back
Top Bottom