Sakata la Mbowe - Matokeo ya busara ya kawaida kushindwa kutamalaki

Sakata la Mbowe - Matokeo ya busara ya kawaida kushindwa kutamalaki

Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?

Tatizo linakuja hivi:

1. Mbowe alikamatwa usiku wa manane pamoja na waliokuwa na waliokuwa wawe kwenye kongamano hilo la kudai katiba mpya.
2. Kongamano hilo lilihakikishwa halifanyiki kwa nguvu zote. Hii ikiwa kwa siku 2 mfululizo ndani ya Wiki 1. Washiriki wakikamatwa muda mfupi kabla ya kongamano katika siku zote 2.
3. Watu wote waliovaa T-shirts zenye kuhusishwa na kongamano la kudai katiba mpya au nguo zinazo fungamanishwa na chadema siku na hata baada ya Mbowe kukamatwa wamekuwa wanakamatwa au kubughudhiwa.
4. Wenye t-shirts za katiba mpya au nguo za Chadema wameendelea kubughudhiwa na hata kukamatwa Mwanza, Mbeya hata Dar.
5. Wenye t-shirts za katiba mpya wameendelea kukamatwa hata kwenye viunga vya mahakamani kisutu jana.
6. Nk.

Bado hudhani kuwa kuna mahusiano ya kongamano la kudai katiba mpya na Mbowe kukamatwa?
 
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.

Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.

View attachment 1905908

Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?

"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.

Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.

Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko
 
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.

Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.

View attachment 1905908

Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?

"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.

Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.

Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Piga hao Chadema, Samia wape mfupa wa kuwashughulisha na wasambaratike.

Mama Samia shughulikia na kufunga njia zote za mapato kwa kuzuiya Ugaidi. Kenge anaanza kutoka damu masikioni usiwaruhusu Chadema wakupigie magoti chinja kwa kunyonga.

Sabaya amefanikiwa kusafisha na kipiga deki huku Machame na wewe maliza kitaifa. Haipendezi, na haitotokea yanayo tokea Zambia yatokee hapa Tanzania.

KIGOGO MALIZA SHUGULI HUKO TWITTER.
 
Ubongo unaathirika na kufungwa 24/7 na hiyo kamba. Kichwa kinahitaji hewa kipumua, sasa wewe umekifunga muda wote lazima kuwe na diminished air supply, increasing heating and hence functioning......
kwaiyo hadi kwenye kwichikwichi bado kichwa kinakua kimefungwa🤪🤪
 
Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?
Wananchi ni akina nani kwa mtazamo wako?Mh.Mbowe na wenzake siyo Wananchi?CCM+POLISI huwa mnafikiri kwa kutumia akili zenu kweli?
 
Piga hao Chadema, Samia wape mfupa wa kuwashughulisha na wasambaratike.

Mama Samia shughulikia na kufunga njia zote za mapato kwa kuzuiya Ugaidi. Kenge anaanza kutoka damu masikioni usiwaruhusu Chadema wakupige magoti chinja kwa kunyonga.

Sabaya amefanikiwa kusafisha na kipiga deki huku Machame na wewe maliza kitaifa. Haipendezi, na haitotokea yanayo tokea Zambia yatokee hapa Tanzania.

KIGOGO MALIZA SHUGULI HUKO TWITTER.

Paragraph ya mwanzo kwenye mada inakuhusu
 
The party must be led by politicians ,we abhors the activists to lead Chadema.

Mbowe mi-kumi mingine!

Like him, hate him. How the hell does it end up being your business?

By the way, you say,

"we abhors the activists to lead Chadema."

as who?

Hiiiiiiiii bagosha!
 
Ongeza tawi la katiba mpya inataliwa na wananchi. Serikali ianfikia muafaka na wadau wa jinsi ya kuutekeleza.

Kwenye tawi la 'SERIKALI INAENDELEA NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA' toa tena matawi mawili , moja kulia na lingine kushoto. Tawi la kulia 'MCHAKATO UENDELEE KUANZIA PALE BUNGE MAALUM LA KATIBA LILIPOISHIA' na tawi la kushoto liwe 'MCHAKATO UENDELEE KUANZIA PALE JAJI WARIOBA ALIPOKABIDHI RASIMU YA KATIBA'. ....Swali hapo kwa maoni yenu kwa hii serikali tuijuavyo itachagua tawi gani hapo kati ya kulia na kushoto???
 
Mahakama itaamua, ni busara ndogo tu inahitajika kutambua hilo! Hayo mashinikizo yenu kwa Serikali eti wamwachie Mbowe hayana mashiko! Kama hana kosa mahakama itamuachia huru!

Mada umeielewa lakini? Kwenye red umepaona?

IMG_20210824_153215_013.jpg

Je umepaelewa?
 
Ongeza tawi la katiba mpya inataliwa na wananchi. Serikali ianfikia muafaka na wadau wa jinsi ya kuutekeleza.

Katiba ni mali ya wananchi. Katiba mpya ni hitajio la wananchi.

Hakuna katiba mpya kama wananchi hawataki no matter nani anataka.

Kwenye red pana husika:

IMG_20210824_154204_246.jpg

Option unayoiongelea:

Wananchi hawataki - > Serikali au awaye yote anapanga na wadau,

Option hiyo ni batili.
 
Mada umeielewa lakini? Kwenye red umepaona?

View attachment 1906247

Je umepaelewa?
Huyo mtu wako kumfananisha na Mzee Madiba ni sawa na kumtukana Madiba matusi ya nguoni!! Serikali inayoogopa kufanya maamuzi sahihi sababu ya kuogopa "aibu kwa serikali" haifai kutuongoza!! Subirini Mahakama itaamua, haraka za nini? Mahakama itaamua kama kasingiziwa or vipi, and uzuri ni kwamba kesi inafanyika mchana kweupee na ikishuhudiwa na kila mwenye uhitaji wa kuishuhudia
 
Yaonesha angalau sasa umetambua kuwa kuna flow chart inayoongelewa kiasi bila ya kulijua hilo ni kubwabwaja tu.

Ulichokikosa bado ni kutambua si flow chart tu, bali kuhitajika busara za kupambanua na kuchambua pia.

Aghalabu inafahamika kuwa busara si kwa kila mtu na ndipo ambapo mtu mzima huweza kuwa ni kituko.

Hata Mandela walikuwapo na wapo weusi kwa weupe waliomwona alikuwa ni mburula, gaidi na eti kumchukulia kama shujaa waliita ni kuwatusi mashujaa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wewe unajua je ni wawili wala siyo 10m+?

watanzania wangekuwa wanataka Katiba mpya, usingeona kitu kinaendelea mitaani na watawala wasingekuwa huru..

uitishwe uchaguzi huru watu wapige kura kuhitaji au kutohitaji katiba...majibu ya hizo kura ndio yatasema watanzania wanahitaji katiba au hawahitajo...

mchakato uliopita uligomea kwenye mjadala wa serikali tatu au mbili, yakazuka mabishano yasiyokuwa na kichwa wala miguu kifupi mchakato ulitekwa na wanasiasa ndio wakitaka kupenyeza hoja zao za kisiasa ndipo mchakato ulipoharibikia..
 
Back
Top Bottom