Ongeza tawi la katiba mpya inataliwa na wananchi. Serikali ianfikia muafaka na wadau wa jinsi ya kuutekeleza.Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.
Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.
View attachment 1905908
Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?
"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.
Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.
Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.
Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.
View attachment 1905908
Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?
"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.
Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.
Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Ubongo unaathirika na kufungwa 24/7 na hiyo kamba. Kichwa kinahitaji hewa kipumua, sasa wewe umekifunga muda wote lazima kuwe na diminished air supply, increasing heating and hence functioning......
Kesi hii inaweza pia kutuweka kwenye world map na kuwafanya 'perpetrators' kupata sehemu mpya ya ku'groom' extremists.Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.
Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.
View attachment 1905908
Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?
"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.
Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.
Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Kesi hii inaweza pia kutuweka kwenye world map na kuwafanya 'perpetrators' kupata sehemu mpya ya ku'groom' extremists.
"Mandela Mpya" Mandela wa Zamani hakuwa mjinga kama huyu wa mleta mada.....hakuwa dikteta kwenye chama chake na kujifanya Mwenyekiti wa Milele!
"Utakuwa nyani wa msukuma wewe" nimekugongea like kwasababu ya maneno hayo hapo!Kufahamu maana ya neno "ujinga" ni muhimu sana kabla ya kujaribu kulitumia ndugu msukuma.
"Ujinga ni kutokufahamu jambo au kitu fulani. Hayupo awaye yote anayeweza kujua kila kitu. Ujinga na kiumbe hai ni 'symbiotic.' Kwa maana kuwa ujinga ni 'inherent' katika maisha."
Utakuwa nyani wa msukuma wewe kujidhania kuwa ujinga haukuhusu wewe tu kiasi cha kujaribu kumnyooshea awaye yote kidole.
Kweli nyani haoni kundule.
Hiiiiii bagosha!
Ninakubaliana nawe. Safi sana. Kwa kila hitimisho la "option" (isipokuwa moja - hoja ya katiba mpya kufa kwa kukataliwa na wananchi) Mbowe anaibuka shujaa.Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.
Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.
View attachment 1905908
Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?
"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.
Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kiweka Tanzania mbele kwa vitendo.
Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
"Utakuwa nyani wa msukuma wewe" nimekugongea like kwasababu ya maneno hayo hapo!
Achana naye. Unamaliza mafuta bure. Gari liko mlima Kitonga likielekea Moro. Tayari ameonyesha ujinga wa kutoelewa "logic tree". Mhurumie; kwake shule ni haba.Kufahamu maana ya neno "ujinga" ni muhimu sana kabla ya kujaribu kulitumia ndugu msukuma.
"Ujinga ni kutokufahamu jambo au kitu fulani. Hayupo awaye yote anayeweza kujua kila kitu. Ujinga na kiumbe hai ni 'symbiotic.' Kwa maana kuwa ujinga ni 'inherent' katika maisha."
Utakuwa nyani wa msukuma wewe kujidhania kuwa ujinga haukuhusu wewe tu kiasi cha kujaribu kumnyooshea awaye yote kidole.
Kweli nyani haoni kundule.
Hiiiiii bagosha!
Safi sana. Sidhani kama atakuelewa hapo.
Ninakubaliana nawe. Safi sana. Kwa kila hitimisho la "option" (isipokuwa moja - hoja ya katiba mpya kufa kwa kukataliwa na wananchi) Mbowe anaibuka shujaa.
Mbowe siyo mwananchi? Hao wengine siyo wananchi? Kwako wewe, wananchi ni nani?Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?
Safi sana. Sidhani kama atakuelewa hapo.
Kumbe Mbowe na wenzake sio wananchi......Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?