Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tuna utawala wa hovyo kabisaBusara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko.
Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi.
View attachment 1905908
Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya?
"Inawezekana namna gani kuwa Rais au washauri wake hawakuyaona haya kwa mtizamo kama huu?" -- Fatma Karume.
Heshima kwake Shangazi na nyote waungwana ndani na nje ambao mmechagua kuiweka Tanzania mbele kwa vitendo.
Kwa hakika juhudi zenu za kuitamani Tanzania iliyo bora zaidi hazitapotea bure.
Sasahivi watu wanaitaka katiba sababu ya mfumo ovu wa sasawatanzania wangekuwa wanataka Katiba mpya, usingeona kitu kinaendelea mitaani na watawala wasingekuwa huru..
uitishwe uchaguzi huru watu wapige kura kuhitaji au kutohitaji katiba...majibu ya hizo kura ndio yatasema watanzania wanahitaji katiba au hawahitajo...
mchakato uliopita uligomea kwenye mjadala wa serikali tatu au mbili, yakazuka mabishano yasiyokuwa na kichwa wala miguu kifupi mchakato ulitekwa na wanasiasa ndio wakitaka kupenyeza hoja zao za kisiasa ndipo mchakato ulipoharibikia..
Sasahivi watu wanaitaka katiba sababu ya mfumo ovu wa sasa
katiba iliyopo inafuatwa kwa asilimia ngapi? ili tuwe na uhakika hiyo mpya nayo haitavunjwa...
ni vyema tukapambana hiyo ya zamani iachwe kuvunjwa...ifuate effectively kwa hata zaidi ya 85%..
katiba iliyopo inafuatwa kwa asilimia ngapi? ili tuwe na uhakika hiyo mpya nayo haitavunjwa...
Katiba inapaswa kujisimamia ili isivunjwe. Iliyopo ina vipengele na vichochoro lukuki vyenye kufanikisha katiba yenyewe kuvunjwa.
Katiba inatakiwa kuwa wazi na bila tashwishi hatua za kumchukulia awaye yote anayevunja kipengele chochote cha katiba.
Iliyopo haifanyi hivyo bali ina vipengele lukuki vya kuufanya mhimili mmoja kuwa umejichimbia zaidi kuliko mingine.
Kimsingi iliyopo haifai.
Ni kama vile unahisi mbowe siyo mwananchi!Ni mtazamo tu.....kwa sababu Mbowe anadai katiba mpya basi akiwa na tuhuma za kipolisi na mahakama aachwe?.... Kwanini hiyo katiba isidaiwe na wananchi na baadala yake aidai Mbowe na wenzake...?
katiba inatengenezwa na watu na watu hao hao wanaweza kuweka hivyo vichochoro...si kweli katiba iliyopo haina katazo na adhabu ya mvunja katiba....na si kweli kwenye katiba unaweza kuweka kila kitu kukidhi haja za kila kitu...
Tatizo la Tanzania kwa sasa ni Ujinga, umasikini na maradhi.... hivi vinaweza kuondoka bila hata hiyo katiba mpya...Kenya wamebadili katiba lakini mpaka leo wapo kwenye migogoro hiyo hiyo ya katiba...na hakuna kipya hata kwenye uchumi wao..m